Sura 8

1 Wakati Yesu alishuka kukilima, watu wengi walimfuata. 2 Na ongalia mtu moya wa ukoma alitokea na kupiga magoti mbele ya Yesu akimwambia bwana, ikikupendeza unitakase. 3 Yesu akanyolosho mkono na akamgusa, na akasema naye: Nataka utakasike. Mara moja ukoma wake ukaisha. 4 Yesu akamwambia: usimwembia mtu manone hii. Lakini wende zako, na kuzionesha kwa kuhuni na utwe sadaka, kwa kufatana na gisi Musa anamuru. Kwa sababu ya ushuuda. 5 Yesu alifika Karanaumu, mkuu wa jeshi akakuya akamliza Yesu. 6 Akasema: Bwana, mtu wangu wakazi ni mgoja na analala ku nyumba akomgojwa wa kilema na maumivu ju nguvu saana. 7 Yesu akamujibu kama atafike kwake kwa kumponyesha. 8 kamanda mkuu akajibu, akisema: Bwana, miye sina uwezo ya kukuleta kwangu, sema neno moja tu mtu wangu atapona. 9 Sababu nami niko na uwezo na askari wenye kuwa chini ya uwezo wangu. Nikimpa oda ya kwena na anaenda, pia mwengine mikisema kuya na nakuya. Na kwa mtu wangu wa kazi: fanya iv na anafanya. 10 Yesu akamusikie na akashangaa kwa ona neno yake, na Yesu akawambia wato walikuwa pamoja naye, Yesu akasema, hakika sijaona mtu mwenye imana sawa yeye katika Israeli. 11 Nawalisha kama wengi watatoka mashariki na magharibi wtaikola meza moja na Abrahimu, Isaka na Yakobo, katika ufame wa mbingu. 12 Mara ingine watoto wa ufalme watupwa katika giza la inje kwenye kutakiwa kiliyo na kiliyo na kusaga meno. 13 Yesu akasema na kamanda, kwenda kama vile umekwisha amini, na ifanyike vile kwako. Na pale pale mtu wa kazi alipona kwa saa ile. 14 Yesu akafika kwa nyumba ya Petro na alikuta mama mkwe na Petro ni mgonjwa wa homa. 15 Yesu akamgusa, na homa ikaisha na akaamka na kwanza kumikutukia. 16 Ilipo fika saa za magaribi, watu wakuya na wagonjwa wa pepo mchufu; Akawatosa pepo na wagonjwa wengi aliwaponyesha. 17 Kwa haya, ikatimia ile nabi Isaya amekwisha sema: Yeye peke alibeba magonjwa yetu. 18 Kisha, yesu alipoona watu wengi wenye kumunguluka, apana oda ya kuvuka ngambo ya pili ya bahari ya Galileya. 19 Kisha mandikaji akakuya kwa Yesu na akambia, mwalimo, tutaenda pamoja nawewe fasi yote utaenda. 20 Yesu akamwambia mbwa mwitu ako na mashimo, na ndeke wa anga wanayo chicha, lakini mtoto wa mwana damu hana fasi ya kutia kichwa yake. 21 Tena mwanafunzi mwengine aka mwambia Bwana, unipa ruhusa nende kuzika baba yangu. 22 Lakini Yesu alimujibu unifaute, na uwaache wafu wazika wafu wao. 23 Wakaki Yesu alipanda katika mtumbu, na wanafunzi wake walimfata. 24 Tazama mpepeo mkwi ukawa juu ya bahali, karibu mtumbu kutaka kufumikwa na mayi lakini kwa saa ile Yesu alikuwa, wanafunzi walipo ona mambo ile. 25 Wanafunzi walipo ona kama kuko hatari: wakaenda kumbamusha Yesu sababu alikwa wa kulala wakasema Bwana, tuponuesha, tunataka kufa! 26 Yesu alipo amuka, akamwmbia, sababu ya nini mnaogopa, wenye imani kidogo? Ndio akaamka na alokataza upepe na bahari. Kisha kulikuwa kimia kabambi. 27 Watu walibaki kwa kushangaa kabambi saana na walisema, nimtu gani ata pepo na bahari vinamtii? 28 Wakali Yesu alipovuka ngabo ya bahari katika nchi ya Magadala watu wawili waliku wakitesua na pepo chavi katika maisha yao na wakutana na Yesu, watu wale walikua wanatokea ku maburi poali wakiishi na walikuwa makifa fujo kwa wapita njia. 29 Walipo kutanana Yesu, wakalalamika nguvu na kusema. Tuna nin la kufanya kwako, mwana wa Mungu? unakuya hapa kutunganiza na bado wakati kutimia. 30 Pale kulikwa nguruwe mingi wenye walikuwa mpembeni yao. 31 Na wutu wa pepo walikuwa wakilalamika kwa Yesu, na kukumwmba kama napenda kuwatosha penye wako, ni hiziru ututume kwa kundi la nguruwe! 32 Yesu akatowa oda kwa pepo kwendea kwingia katika ile kundi la nguruwe akisema mwende katika ile kikudi ya wanguruwa. Pepo wakatoka na kwende kwa nguruwe. Nakuni lote likashuka kuteka lokashuka kutoka kukilima kushuka ndani ya bahari lote na walikufa wate. 33 Wachungaji wa nguruwe walikimbia na kwena ku mjini kuelezea watu kitu moja, zaidi kiliyo wafika kwa wanaume wenye kuwa na mapepo. 34 Tazama watu wa mjini wote wakuja kukutana na Yesu wakimuomba atoke lakini katika mugini yao.