Sura 16

1 Wafalisayo na wasadukayo walikuya kwa Yesu kumijiribu muhiyiza inayo toka mbingani. 2 Yesu aliwajibu na kuwaambia kama " ikiwa magaribi mnasema hali ya hewa ni mzuri, ababu julu ni nyekundu. 3 Na asubuyi mnasema " hali ya hewa leo si mzuri kwa sababu julu ni nyekunda na mawingu inayafunika yulu lote mnajiwa kutafisili kuonekana kwa juu, lakini amuwezi kutafisili miuziza ya wakaki. 4 Kizazi kibaya na cha usharati kinatafuta miuziza lakini hakuna miuziza isipo kuwa ile ya Yona. Kiishja Yesu akotaka na akaenda zake 5 Wanafunzi wakamba ngambo ya pili, lakini walisahau kukamata mikate. 6 Yesu akawaambia " angalisho na vinyo na shachu ya wafalisayo na wasadukayo". 7 Wanafunzi wakaanza, kuwaza wenyewe: " Ni sababu hatukeleta mikate". 8 Yesu alijiwa maneno wanafunzi walikuwa wakiwaza , akasema "niye wenye amani kidogo, kwa nini juu hamukubela mikate? 9 Ndio kusema hamukumbuki ile mikate tano kwa watu elfu tano na bitunga bingapi ile mulikusanya kishu kula? 10 Au mikate saba kwa watu elfu ine bitunga bingapi mulipo kusanya kisha kula ? 11 Namna gani hamukuweza kama nilikwa ni kisema juu ya mikate hangaisho na chachu ya wafasiyo na wasadukayo. 12 Kiisha wakajuwa kama alikuwa akasema muwe hange na mikate iliyo na chachu lakini muwe na angaisho kwa mafundisho ya wafalisayona wasadukayo 13 Wakati Yesu alifika mtaa wa Kaisaria ya filipo akawauliza wanafunzo wake kama watu wako wanasema mtoto wa mtuni nani. 14 wanafuzi wakamyibu watu wanasema uko Yohana mbatizazi, wengine Eliya na Yeremia, au ni mmoya ya wanabii. 15 Yesu akawauliza , sasa niye munasema nini juu jangu? 16 Simoni Petro akajibu wewe ni kristo mtoto wa Mungu wa huzima . 17 Yesu akamwambia: unaburikiwa Simona mtoto wa Yona, sababu si kwa damu ao kwa mwili haiku kupatia ile jibu lakini ni bababa yangu aliye mbinguni. 18 Na mimi pia na kuambia kama wewe ni Petro na jiu ya mwambahii ndio mitajenga kanisa langu. Milangu ya kuzimu hatalishinda. 19 Nitakupatia fungola za mufalme wa mbingu yote utakapo ifunga hapa duniani kitafunguliwa mbinguni. 20 Kiisha Yesu akawapatia wanafunzi oda hii: wasiseme na mtu yeyote kama jeye ni Kristo 21 Basi, Yesu akanza ku waambia wanafunzi wake kama inampasa kwenda Jerusalemu kuteswa kwa mambo katika mikono ya waju wa makuhani na wandishi, atauwawa na kufufuka siku ya tatu . 22 Kiisha Petro akamukamatia Yesu akaenda naye pembeni kwa kumukataza kwa kusema " neno hili likwe mbali nawe bwana isikutoe. 23 Lakini Yesu akamwangali Petro akasema " rudi nyuma jangu shetani ! weye ni kizuizo kwangu, kwa maana hawangaikie maneno ya Mungu , lakini maneno ya watu. 24 Kiisha Yesu akawambia wanafunzi wake kama mutu yote akitaka kunifuata mimi ni mzuri ajikatale ye peke na abebe masalaba yake na anifuate. 25 Kwa kuwa mtu ule anayetaka kuokowa maisha jake ataipoteza na ule yote anaye poteza maisha yake kwa ajili yangu ataiokowa . 26 Je ! Ni kitu mtu anaweza towa katika kubadilishama na maisha yake 27 Kwa kuwa mtoto wa mtu atakuya katika utukufu wa nbaba jake na wamalaika wake , na ye atamulipa kila mtu kufuatana na kazi jake . 28 Kweli ninawambia kuko wenye kati yenu hapa ambao hawatoona kufa mpaka watamuona mtoto akikuya kati ufalme wake.