Yohane Sura 17

1 Yesu, kwema mambo aya, akainua macho mbinguni na akasema Bana wakata inatimia. umsifu mwana waka kama vile mwana akusifu. 2 Kama vile ulimpatia uwezo juu ya vitu vyte vyenji kuwa na mwili kusudi naye awape uzima wa milele. 3 Ni uzima wa milele kusudi wapate kukujua, weye, Mungu Moja wa kweli, na ule aliye tumwa Yesu kristo. 4 Nilikukuza apa duniani, nimemaliza kaji yenji ulinipatiaka. 5 Kwa sasa, Baba unitukuza pemtemi yakomwenjene na utukufu yenji nilikuwa nayo kwako mbele ya kuumba dunia. 6 Nilijulisha fina lako kwa kwa watu wadunia wale ule ulionipa walibuwa wako, na ukanipatia wao na walichunga neno lako. 7 Na wanafua sasa jote uliyampa ilitoka. kwani niliwapatia neno lako lenji ulipatuaka. 8 waliipokea na walisadiki kweli kama nimetoka kwako, nani weyendyo alinima. 9 Naomba juu yao, siombe juu dunia, lakini juu ya wenji ulinipa kwani, wapowa kwangu kwako. 10 Kila mtu mwenye kuwa kungu iko piawa kwako, no yeyote iko kwangu, mnafitukuya. 11 Mini (Yesu) sikowa dunia laki wao wako batiya dunia , nakuja kwako. Baba mtakatifu, uwakinge kwa jina lako, jina lile ulinilipaka wawe na umoja, sawa kama wayena mimi tupo moja. 12 Wakati nilikuwa nao niliwachunga kwa fina lako lenji ulimipaka; niliwawachunga, hata katija alipotea, hijawa mtoto mpotevu, kusudi mandiko yatima. 13 Sasa nakuya kwako, lakini mliwambia mombo hii kati ya dunia, kusudi , wapate kwa na furaha yangu kanili kati yao. 14 Niliwapa nena loko, ulimwengu ukawataa sababu hawako wa dunia. Sawa mimi pia si wadunia 15 Siombe huwasatoshe katika dunia uwakinge na yule adui. 16 Sawa vile siko duniani, wao pia hawako wa dunia. 17 uwayafishe kati ya ukweli wako, kwani neno lakoni kweli. 18 Sawa vile ulinituma ulimwenguni nikawatuna vilevile. 19 Nimejitoa kabisafuu yao kusudi naopia wajitoe ya ukweli. 20 Siombi tu juu yao lakini piafuu ya watu uote wenyi watoriamini wakati watasikia neno kwa kenua chao. 21 Wawe wote umoya, sawa kama wewe, Baba, upo katiyanngu na mimi kati yako. Naomba pia wawe kati yetu, kusudi dunia isadiki kama ulinima. 22 Niliwapatia sifa yenyi ulinipatiaka, juu wawe kati ya umoja, sawa kama wewe na mimi, tupo umoya. 23 Mimi ndani yao na wewe ndani yangu, kusudi wawe kabisa umoya, nduyo dunia itajuwa kama, ulinituma. Baba ,wale wale wenyi utinipe, sababu 24 Baba, wale wenye ulinipe, Nataka wawe pia pale nafasi niko kusudi wapote kaona sifa yangu, yale ulipatiaka, Sababu ulinipendaka mbele ya dunia kwimbua. 25 Baba wa usawa , dunia haikukujua, lakini mimi nilibujua, nao wanajua kama nimetumwa nawe. 26 Niliwafulisha jina lako na nitalifanya tena, kusudi mapendo yenyi ukonaya kwangu iwe ndani yao, na mimi yao.