Sura 6

1 Mpenzi ywako kaitia kuhi' mtama miangoni mwe wavyee? laita na sia yani mpwnzi ili tikamu ondeza hamwe na wewe? Mvyee mdodo akatamwiia mwenye. 2 Mpenzi yangu kaita bustani yakwe, kwe sazi. zinunkiazo, kenda kuda kwe bustani na kukuba nyinyono. 3 Mie ni wa mpenzi yangu, na mpenzi yangu ni yangu, na kuda mwe nyinyoro tawa kutamiwa. Mpenzi wa mvyee akatamwiia nae. 4 Wee umtana enga Tirza, mpenzi watama enga Yelusalemu, watisa enga jeshi denye bendea mbele. 5 Hitua yako hae namimi kwaajii yatendesa ukai fii zako zenga bunga da mbuzi dikoseeasi kulawa mwe mitelemko ya muima Gileadi. 6 Meno yakoyenga bunga da ngoto dikaseea kulawa kwe hantu ha kwehakwa. 7 Mafunda yako yenga mani ya mkomamanga numa ya kitambaa chako cha cheni; Mpenzi wa mvyee atamwiia ikedu. 8 Kuna malkia sitini; masutia Semanini, na wavyee wadodo wesao. 9 Njiwa yangu, mwese bato wangu,ni yeye mwe ikedu, ni maalumu wa mami yakwe, Nee Kipenzi cha mvyee mwe kumvyao, wandee wa Wezwangu wamuona na kumwetanga mbaikiwa, Wezwangu wanuona na kumwetanga mbaikiwa, Wamalikia na masulia na wamuona, wakamtogoa, kia wekugombekacho wamaliytia na masulia. 10 Ni ndai uyo mweaviiza enga kucha, mtana enga mwezi, mngaa enga zua, - watisa enga bendea ya jeshi?" Mpenzi wa mvyee akatamwiia mwenye. 11 Nikaita he tundugua da miti ya mlozi kukaua mimea midodo koongoi ikakua. Kuona mizabibu ikasuka, na enga mikomamanga ikativa. 12 Nkiwa na nyemi nakuhisi enga nkikwea gai da faasi da mwana mfaume, mpenzi wa mvyee akatamwiia nae. 13 Hituka nyuma, hituka nyuma, wee mvyee kitomi Hituka nyuma, hituka nyuma ilindahe kudundwaa, mvyee mdodo akatamwia na mpenzi yakwe mbwai wadundwa, mvyee ukitomi; enga kwamba nasigiga mwe minjoozo miidi ya wasigigaji?