Sura 8

1 Awa ni viongozi waongoao mwe Kolwa ambao waawa Babeli hamwe nami kipindi cha utawaa wa Mfaume Altashasta. 2 Mwana wa Finehasi, Gershoni Mwana wa Isamali, Daniei, Mwana wa Daudi, Halushi ambaye ni mwana Shekania. 3 Ambaye inga ni mwana wa paroshi na Zakalia hamwe na yeye kuwa a wagosi mia mwenga na hamsini walajwa mwe idadi ya Kolwa dakwe. 4 Wana wa Pahas - moabu, Eliehoenai mwana wa Zelahia na hamwe naye wagosi mia mbii. Wana wa 5 "Shekaniah, Yahazieli na hamwe naye wagosi mia tatu. Wana wa 6 adini, Ebedi mwana wa Yonasani hamwe naye waandikwa wagosi sabini. 7 Wana wa Elamu, Yeshaya mwana wa Asala na hamwe naye waandikwa wagosi sabini. 8 Wana Shefatia, Zebadia, mwana wa Mikaeli na hamwe naye waandkwa wagosi samanini. 9 Wana wa Yoabu, Obadia mwana wa Yehiel hamwe na yeye mwaandikwa wagosi mia mbii kumi na nane, wana wa Binui, 10 Sheromithi, mwana wa Yosifia na hamwe na yeye waandikwa wagosi, mia mwenga na sitini. 11 Wana wa Bebai, zekalia mwana wa Bebai na hamwe na yeye waandikwa wagosi ishiini na nane. 12 Wana wa Azgadi, Yohana mwana wa Hakatani na hamwe na yeye waandikwa wagosi mia mwenga kumi. 13 Wada wana wa Adonikamu wakeza baadae, Na aya nee mazina yao: Elifeleti, Yeuli na Shemaya na hamwe nao wakeza wagosi sitini. 14 Wana wa Bigwa, Uthani, mwana wa Zabudi na hamwe na yeye waandikwa wagosi sabini. 15 Nikawakonga wadafii bandali yeku wayo yaita Ahava. Tikaika nkambi mda wa siku ntatu nikawachunguza wantu wa siku ntatu nikawachunguza wantu na makuhani (Waviki), akini chekuwaona wana wa Levi gatimwao. 16 Ivyo nenetuma kwa Eliezeli, Shemaya, Elnasani, Yalibu na Elnasani na Nasani, Zekaria na Meshulamu wawa viongozi na kwa Yoyalibu na Elnasani ambao wawa ni wahinya. 17 Naho nkiwatuma kwa Ido, kiongozi wa kasifia . Neena waambii kiya wondacho wamwambie Ido, na wantu wakwe. Wala ndima wa hekalu wekwe kao kasifia, kwa iyyo, kwa iyo kutuma kwetu watandima kwa ajii ya nyumba ya Muungu. 18 Hivyo watituma swiswi kwa Mungu na mkono mtana wa mntu etagwaye Ishekeli. Nimwana wa Mali mwana wa Levi mwana wa Islael. Akeza na wana kumi na nane na ndugu. 19 Hamwe naye Hashabia, hamwe na Yeshaya wa wana wa Melali na ndugu zakwe na wana wee jumla wantu Ishiini wose. Miongoni. 20 Mwao wasagulwa kugesoa ndima mwe Hekalu, ambayo Daudi na wakuu wawenka kuwatumikia walawi: mia mbii ishiini kiya yumwe kagizwa kwa mazina. 21 Nee Nabii kufunga mto Ahav a ili kuzizimiza mbele ya Mungu, kuondeza sia yekunyookayo kuawa kwakwe kwa ajii yetu, wana weta na maii zetu. 22 Nkiona soni kumwombeza Mfaume kwa ajii ya watankondo au mkweyafaasii kwa ajii ya kutilinda tiwahao siayai, langu tekumbiaha Mfaume "mkono wa Muungu uhamwe na wose wamwondezao kwa matana, akini uweza wakwe na nkuu yakwe ni uwanga ya wada wose wesiokumkunda yeye. 23 Ivyo tifunga na kumwombeza Muungu kwa mbui inu. 24 Naho nikasagua wantu kumi na waidi kuawa kwa mviki: Sherebi Hashabia na ndugu zao watuhu kumi. 25 Nikahima heya kwa ajii yao, Zahabu na via vya kafaa kwa ajii ya nyumba ya Muungu kwa Wafaume, washauli, na wakuu na Islaeli wose waavya kwa kukundakwao. 26 Ivyo nikawahimia mwe mikono yao talanta za heya mia mtandatu na hamsini, talanta mia mwenga ya vombo vya feza, talanta mia mwenga za zahabu. 27 Viya ishiini vya zahabu kwa hamwe viwa na samani ya elufu mwenga, darkoni na vintuviidi vya vizuu vihambwavyo inga zahabu ya kuagizwa. 28 Naho nikagombeka mmwikwa wakfu kwa Zumbe na ivi viya pia na feza na zahabu, viavigwa kwa hiyali kwa Yawe, Muungu wa waongoeza wetu. 29 Mvikauwe na kuvitunza mpaka mwondahomuvihime mbele ya makuhani, na walawi na viongozi na waongozi wa wantu wa Islaeli mwe Yelusalemu mwe nyumba ya Muungu. 30 Makuhani na walawi wakubai vihimo vya feza na zahab na via kwa ajii kuvidoa na kuvyegaa Yelusalem, kwe nyumba ya Muungu wetu. 31 Tikawa kuita mto Ahava siku ya kumi na mbii mwe mwezi wa bosi kuita Yedusalem, mkono wa Muungu uwa hamwe nasisi katilinda na mkono wa mkondo wetu na wasa wekukundao kutiosoeya nkumbizi siyai. 32 Ivyo tengiya Yelusalem na kwekaa umo kwa siku mntandatu. 33 Tena siku ya yane feza na zahabu na via vihimwa ndani ya nyumba ya Muungu wetu kwa mikono ya Melemosi mwana wa ulia kuhani na hamwe nao kawaaho eleazali mwana wa Finehasi, Yozobadi mwana wa Yesua, adia mwana wa Bimu, na Noadia mwana wa Bimui, walawi. 34 Idadi na uzito wa kiya kintu udaha kumanyika uzito wose udaha kugondwa mwe ukati uwo. 35 Na wada wekwezao kuawa utumwani. Wantu wa wekusamizwao, wakavya kafaa ya kuokwa kwa Muungu wa Islaeli, ng'oto tisini na ntanda tu, wana ng'oto sabini na mfungate na mbuzi wagosi kumi na waidi inga kafaa ya zambi. Zose ziwa kafaa ya kuokwa kwa ajii ya Yawe. 36 Naho wakwekingwa amli za mfaume kwa wakuu wa mfaume na wakuu wa mwemizi ng'ambo ya mto, waka wasaidia wantu na nyumba ya Muungu.