Sura 7

1 Sasa ikawa idi kipindi cha kutawala atoshasiba mfaume ywa Uajemi, Ezla akeza kwawa Babeli watakumuongoza Ezla nae ni selaya, 3 Azalia, Hilikia. 2 Shaumu, sadakia, Ahitubu. Amalia, azalia Melayasi. 4 Zelahia, uzi, Buki. 5 Abishaua, Fineasi, Eliazali ambae ni mwana Haluna kuhani mkuu. 6 Ezila akeza kuawa kuawa Babeli na nee nimtaaalamu mganda ywa sheia ya Musa ambayo Yahwe, Mungu ywa Islael kawenka Mfaume akamwenka kia ekuombezacho kwa kuwa mkono wa Yahw nee uhamwe nae. 7 Wazao wekumwe na makuhani, walawi, walinzi na wada wekusagulwao kuhudumu mwe hekalu pia wakaita Yelusalemu mw mwaka saba wa mfaume Atashasita. 8 Naye akabua Yelusalemu mwezi wa shano mwaka uo. 9 Naye akahuka Babeli msi wa bosi wa mwezi wa bosi. Nee ni siku ya bosi ya mwezi wa shano ambao kubua Yelusalemu, kwa mkono mtana wa Muungu na uhamwe nae. 10 Ezla nee kaavya moyo wakwe kusoma, kugoosoa na kuhinya maagizo ya sheia ya Yahwe. 11 Inu nee amli ambayo mfaume Atashasta kamwenka Ezla kuhani mgonda wa shaia za Yahwe na maagizo kwa Islaeli. 12 Mfaume ywa wafaume Atashasita, kwa mgonda ywa sheia za Muungu ywa mbinguni. 13 Naavya amli kwamba muntu yoyose Islael mwe ufaume hamwe na makuhani na Walawi ambao watamani kuita Yelusalemu, wadahe kuita hamwe na wewe. 14 Mimi mfaume na washauli wangu mfungate, tamituma wose kuita kumanya kuhusu Yuda na Yelusalem kuhusiana na sheia ya Muungu ambayo imwe mikono. 15 Yenda ukubidi kueta zahabu na feza ambazo waavya kwa ajii ya Mungu wa Islael wekazi wekwe ni Yelusalem. 16 Feza yekuavigwayo kwa hiali na zahabu yose yekiavi gweyo Babeli hamwe na vyekuavigwavyo kwa hiali wekuavyao wantu na makuhani kwaajii ya nyumba ya Muungu mwe Yelusalem. 17 Basi ugue vyose sadaka ya ngoto, bebelu ngoto na unga na kinywaji, uviavye kwe mazabahu ambayo ni nyumba ya Muungu ywako mwe Yelusalem. 18 Gosoa ivyo hamwe na sehemu ya fedha na zahabu vyovyose wendavyo uone vyakutamia wewe na nduguzo kumtamia Muungu. 19 Viike vintu vyekuavigwavyo kwa hiali mbele yako kwa ajii ya huduma ya nyumba ya Muungu Yelusalem. 20 Kitu chochose ambacho wakikunda, galama yakwe yenda iawe kwa hazina yangu. 21 Mimi mfaume Atashasta, naavya amli kwa watunduia hazina wose mizi ya seja ya mto. Chochose Ezla endao hoambeze kwenu vyatama enkigwe. 22 Hata zaidi ya talata mia mwenga za feza, vihimo mia vya ngano, bathi mia za divai na bosi mia za mavuta na munyu wesaokuwa na ukomo. 23 Chochose ambacho kiamliwa kuawa kwa Muungu ywa mbinguni kigosoe ichoicho kwa utukufu wa nyumba yakwe. Kwambwa mbifya yakwe yeze kwa ufaume wangu na wanangu? 24 Tenda tiwenke taalifa wowo kuhusu nywinywi kwamba wesekumtoza ushuu wowose au kodi kwakuhani mlawi, mwiimbi, mlinzi au kwa muntu mwekusagulwa mwe huduma ya hekalu na ndima mwe nyumba ya Muungu. 25 Ezla kwa viugo ekwenkwavyo ni Muungu yakupasa kutaua waamuzi na muntu mweewa kuhudumia wantu mwe mzi ambao nkawamanya sheia. 26 Avya azaba kwa yoyose mwesekutunya sheia ya Muungu au sheia ya mfaume ikadihakana kwa kifo, kusamizwa, kokwa moto mai zahwe au kufungwa. 27 Agimbikwe, Yahwe Muungu ywa uongozi wetu ambae nee kaika moyo wa mfaume ili kugimbika nyumba ya Yahwe Yelusalem. 28 Ambae akaendeeza agano kwangu kwa uaminifu mbele ya mfaume na washauli wakwe na wakuu wakwe wenao mamlaka, nligewa nguvu na mikono ya Yahwe, Muungu ywangu, nami nee nawakuba viongozi kuawa Islaeli kuita hamwe na mimi.