Yohana 7

1 Kiisha vitendo ayo Yesu akatembelea Galilaya, ilikataa kwenda Yudeya. 2 Kwani wayaudi wapinga kumuwa nasikuu yalikaribia. 3 Nduguzake waka mwambia uende Yudea, inafaa wanafwizi wako waone kazi unayofanya. 4 Kwani kazi yeyote afanyayo kwa uficho inafaa ionekane wazi, vile unatenda mambo ayo wafaa uyionyeshe wazi mbele ya duria (watu). 5 Pia nduguzake hanakumsadikia, 6 Yesu akawamnbia, siju zangu haijatimia, lakiniezmu kela wakati ziko tayari. 7 Duniahaiweze kuwakataa nyenye hakini inanikataa sababu mambo ya dunia ni mabaya. 8 Mwende ku feti, mimi sije ku feti sababu siku zangu haijaerea. 9 Kiisha ya kusema vitendo hiyo, akabaki Galilaya. 10 Hata wandugu wake walienda na lazima naye ya akaenda kwa uficho. 11 Kwani wayuda walikuwa na lazima naye siku ya feti na kusema iko wapi?. 12 Kulikuwa maubishi mungu kati ya wengi, juu yake (Yesu). Wakisema ni mtumzuri, wengine anapindua watu wengi wengine ni muleta fujo kati mikutano. 13 Hata vile hakuna mtu alisema wazi juu ya kuogopa wayuda. 14 Wakati feti alifika katikati, Yesu akapanda juu Altari kuubiri, 15 Wayuda wakasangaa wakasema: Namna gani anajua maneno mengi, akujifungza ata kidogo, 16 Yesu akawambia manbiri yangu ni ya yule aliye nituma. 17 Mtu akipenda kufanya namna apendaye atajua kama maubiriyake inatoka kwa Mungu ao inatoka kwake mwenyewe mwenyi anaubiri kwa jina lake anatafuta sifa yake. 18 Lakini mwenyi anauribi juu yake mwenyewe, anatafuta sifa yake lakini uyu anasema maneno ya mwenyi alimtuma, ana penda sifa ya mwenyi. Mtu ule ni mtu mzuri na wa kweli. 19 Musa aliwapatiaka amzi, Hata moya katiyenu alishika amzi, sababu gani munatafuta kuniuwa. 20 Makoani wakasema uko na pepo mbaya, nani ata kuuwa? 21 Yesu akawajibu nilifanya mihujiza mukasangaa nyinyi wote Musa aliwapa amzi ya kubeni " Kutauriwa". Japo ilikuwa ya. 22 Musa lakini ili toka kwa wazee. Na siku ya Mungu munahata batu yando. 23 Kama mtu ana katiwa yando siku ya Mungu, akufunya shenia ya Musa? Sababu gani munanisirikia kwani niliponya mtu siku ya Mungu. 24 Musambishi na ukweli, musifate kimutu. 25 Watu wachache wa Yelusaleme akajuiliza kaiko jeje walitaka kumuuwa. 26 Angaluni anasema waziwazi na hawa mfanye bitu wakubwa wanajua kama yeye ni Mbarikiwa (Kristu). 27 Tunajua kama oyu anatoka wapi. Lakiri siku Kristu atakuya mtu gani atajua. 28 Kiisha Yesu akapaza sauti ndani ya kanisa, kuubiri muna nifahamu nyenyi wote na munajua kwenyi natoka. sikuya kwa uwezo wangu, yey aliyenituma iko kxeli na hamunujue. 29 Nanjua kwani natoka kwake yeye aliyenituma. 30 Walisubutu kumushika lakini hakuna mtu alimgusa sababu wakati wake ulikuwa haiyatimia. 31 kati ya kikundicha watu wakasema siku Kristo atakuya miujiza kupita yeye? 32 Wafalisaya wakasikia ginsi watu wanasema juu ya Yesu wakoanina wafulisayo wakatuma majeshi kuwafunga. 33 Yesu akasema ningalika nanyi nda mfupi, kiisha natakarudi kwa mwenyi alinituma. 34 Mutanitafuta hamuniona kwenyi nitatenda hamtajua. 35 Wayaudi wakasemaka kati yao. Mtuuyu ataenda wapi; kwani anasema hatuta kuwa wa Grec wenyi walio sambazwa kuwafundisha. 36 Alitaka kusema je. Mtanitufuta lakini hamtaniona, amuta kwa na ginsi ya ku nifuta. 37 Mwisha ya siku ya feti, Yesu akanyamaza na akalalamika sauti kati. Mwenyi kua na huba ya maji akuye ku nywa kwangu. 38 Iyu ananialmi ginsi maa ndiki ina sema ata huwa na maji ya uzima. 39 Alisema katikaki Roho wenye wata muamini Roho mtakatifu. Ilikuwa baolo kupanua, sababu Yesu alikuwa hayatukuzwa. 40 Watu wa chache kati ya kundi waliposikia, wakasema, kweli uyu ni nabi wengine ni Kristo, 41 Lakini wengine wakasema: je Kristo hawezi kutoka Galilaya. 42 Maandiko yasema Kristo atatoka ku kizazi cha Davidi, mji wa Betehema. 43 Fujo akatoka kati ya kikundi sababu yake. 44 Wangine kati yao wakapenda wa mufunge, lakini hata mouya hakumgusa. 45 Wa afande wakarudia kuana wakuu wa kanisa wakoani na wafarisayo, wakawajibu: sababu gani . 46 Na afande wakasema hatufaona mtu wa dunia iko na sema. 47 WAfarisao wakajibu waliyo wadanganya? 48 Kuko pia wa koani au bafarisao wenyi waliishi ku mwamini? 49 kikundi chenyi kaifaamu shera wamepizwa vibaya. 50 Nikodeme mmoja wao akawambia. 51 Namna gani mtu anaweza kufunwa bila "kusamba" kumiliza sababu ya maneno alifanya. 52 Wakanjibu ya kwamba, na wewe unatoka Galilaya Hakuna profeta atokae Galilaya. 53 Kila mtu akarudia nyumbani mwake.