Sura 4 7

1 Hili ndilo neno la BWANA lililomjia Yermia, 2 Simama katika lango la nyumba ya BWANA na utangaze ujumbe huu! Sikiilizeni neno la BWANA, ninyi nyote watu wa Yuda, ninyi mnaoingia katika malango haya kumwabudu BWANA. =======