Sura 4 10

1 "Sikilizeni neno ambalo BWANA anawaambieni, enyi nyumba ya Israeli. 2 BWANA asema hivi, 'msijifunze njia za mataifa, na msishangazwe na ishara za mbinguni, kwa kuwa mataifa hushangazwa na haya. =======