Pulukoo 2

1 Kwa hidia ni lazima tukweli kipaulambege kwa yale tuyukela, idi kudimba tusige tukitengele wilo nage. 2 Kumana ibadi uyumbe ubazuunguzela na malaika ni halali, na kila kosa na ubaashi kupokela adhabu tu, 3 tuimpelege kudiepuka kama tusipole kujadi uwokovu huu mukuluu? Uwokovu ambago kuganza uditangaza na bwanaa na kuhidibitishaa kwitu na wale wasige kuukela. 4 Filenyambi pila ubitisha kuba ishara, maajabu, na kwa matendo makulu mwilomwilo. na kwa zawadi za kitenda kitakatifu adile kugaba , kudinga na na kukunda yage mweene. 5 Filenyambi hakuukwe la musenge uvaa, ambago tubayungelea, habadi zage, chini ya malaika. 6 Bagala yage, muntu, fulena ubashuudila mahadi fulani uwoza, '' muntu ni nani, hataa ugweze kumukumbuka? Ao mwana wa muntu, hataa umutuunze? 7 Muntu kuba muinini kudiko malaika; umuvi kwela taji za utukufu na heshima. ( Kengeleni: Katika nakala hadisi za kuganza, misitari za kuganza, misitari hudiapo. '' Na udileka yulu ya kazi ya mabokoo.) 8 Umweugweka kila kintu chinii ya bigwelu yage.'' Kwa hidio Filenyambe umukwela kila kintu chini ya muntu. Hakuegela kintu chuchute ambago kiishi chini yage . Obebebya sasa hivii hatu muma kila kintu kibadile chini yage. 9 Hata bibyo, tumuona ambage ifanyula kwa mudaa chini kudiko malaika Yesu ambage, kwa sababu ya mateso yage na kifo chage, avukwela taji ya utukufu na heshimaa. hibya sasa kwa neema ya Filenyambe, Yesu ubagonja kufua kwajidi ya kila muntu. 10 Idilekuwa sahihi kwamba Filenyambe kwa sababu kila kintu kidipo kwa ajidi yage na kulegela yeye hudipaswa kubaleta aana ilele kaiika utukufu, na kwamba adipaswa kumufanya kiongozi katika uwokovu wage kuba mkamidifu kulega mateso yage. 11 Kwa maana wonso babidi yule ubaweka wafuana wale ambago ubaweka wafua, bonso watokela kwenye asidi mosa, Filenyambe. kwa sababu hidi yule ubaukwela wafua kwa Filenyambe umoni aibu kubaita ndugu. 12 Anasema, '' nitabatangaza jina lago kwa ndugu yonde, nibaimba kuusu wewe kukatuka inde ya kusanyikoo.'' 13 Tena uwoza, '' Nitaamini katika yeye.'' Na tina, '' kengela, hadia kudi na baana ambago Filenyambe kuimpa.'' 14 Kwa hidio, kwa kuwa waana Filenyambe wonso hushidika lukuba na biila, kadilika Yesu ashidiki bintu bibye bibye, idi kwamba kulegela kifo ampate humodofishisa yule ambage shii na mamulaka yulu ya mauti, ambage ni kilefo ibidisi. 15 Hidi idilewa hibya idi abagweka uhuru bale bonso ambago kulegela hofuu ya kufua wa diishi maishaa yago yonso katika utumwaa. 16 Kwa hadika sidio malaika ubasaidia. bagala yage ubasaidia bizala bya Abraham. 17 Kwa hidio, ibadila lazima yeye awe kuma ndugu yage katika njula yonso, idi agweze kuwa kuhani mukulu adina uruma na mwaminifu kwa bintu biya Filenyambe. na idi kwamba awe na uweso wa kutola musamaha kwa zambii za bantu. 18 Kwa sababuu Yesu mweenewe utiseka, na kujaribiwa, ama uweso wa kubasaidia bale wadilekujaribiwa.