Pulukoo 13

1 Bashi upendo wa ndugu na ugendeleya. 2 Msisaudika kubarakaaibisha bakeni, maana kwa kufanya hidi, baadi wabakaribisha malaika pasidio kuyuka. 3 Kumbukaa wadimo kule pamosa nobe, na kama malukuba yinu ibatendewa kama yobe. 4 Bashi ndoa na idile shimiwe na bonso na bashi kitanda cha ndoa kifanyile kuwa safi, kwa maana Filenyambe ubahukumu bakwabusharati na banzinzii. 5 Bashi njeela yinu za maisha yiwe huru katika upendo wa falanga. Muwe wabarizika na bintu mudilenabyo, kwani Filenyambe mweneewe uwoza, ''Sibalegela nyinyi kamwe wala kubateleza nyinyi.'' 6 Bashi tudizikeni idi tuwoze kwa ujasidi, ''Bawa ni msaidizi wonde; sitaogobela. Mwanadamu aweza kunifanyubini? 7 Bafikidieni bale badio ubaongoza, wale waongozela lianda la Filenyambe kwinu, na kumbukena bitokeo ya maendo yobe; igeni imani yobe. 8 Yesu Kristo ni yeye yana, na adi milele. 9 Usivaa ubaongozela na mayukutanga mbadimbadi ya kigenu kwani ni bilege kwamba kitena ubunda kwa neema, na sidia kwa shedia kugusu bya kuudia heyo hashikubasaidila bale wabaishi kwa hiyo. 10 Tudiyo mazabahu ambago bawe wabatumika munda ya hekalu bashi haki ya kudia. 11 Kwa kuwa bigilaza banyuma, zibatwela zabihu kwa ajidi ya zambii, ibaletwa na kuulu mukulu munda ya kitela takatifu. 12 Kwa hidio Yesu nage ubateseka injee ya kilango kya musenge, hidi kwamba kukwela bafu bantu kwa Filenyambe kuengela bigila byage. 13 Na kwa hidio twiibagenda kwage injee ya kamba, tukizitwika fadeha zage. 14 Kwani kuushi bikao ya kukawila katika musenge huyu. Bagala yage tulukeluke musenge ambago uuvaa. 15 Kulega Yesu mwadipaswa mara kwamara kujitola sadaka ya kumutukuza Filenyambe, kumusifu kwamba tunda la milimo yitu dikidi jina lage. 16 Na usibasahabu kufanyela bilege na kusaidia na nyinyi kwa nyinyi, kwa kuwa ni kwa sadaka kama hidio ndidio Filenyambe upendezwa sana. 17 Tini na kujishusha kwa badikubaongoza biinu, kwani wa baegendela kubadindia kwa ajidi ya bitema biinu, kama bale baddikutola hesabu. Tiini idi kwamba badikubaaza biinu bagweza kubatunza kwa bilege, na sidio huzunii, ambago hashibasaidia. 18 Tulombeni, kwani tudi kuhakikwa kwamba tudi zamira bilegele, tubalenge kugishi maisha ya heshimaa katika mianda yonso. 19 Na bonso nibatila kitena zagidi kunfanya hidi, idi kwamba nigweze kuuvela kuinu hidio kadibuni. 20 Sasa Filenyambe wa amanii, ambage wabaleta lukine teena kukatuka kwa wafuu muchungachi mukulu wa kondolo, Bwana witu Yesu, kwa bigila ya agano dia milele, 21 ubahimpa uweso kwa kidia lianda ilege kunfanya kukunda yage, akifanya kazi munda yitu idiyo ilege ya kumukundeza misoni page, kulega yesu Kristo, kwage uwe utukufuu milele na milele. Amina. 22 Sasa nitila kitema, ndugu, kuchukudia na nalianda la kutila kitema ambago kwa bufupi nidiandika kwinu. 23 Fahamuu kwamba ndugu yitu Timoteo udileku shaachiwa uhuru, ambago pamosa nage midile kumona kama atauvaa hidi kadibuni. 24 Sadimi badikubaongoza badi bonso na baamini bonso, bale wabatola itadila na wadikusadimia. 25 Na neema iwe nanyi bonso.