Pulukoo 6

1 Balu boonso wadio naase ya nima kamaa wantumwa wabachukela. mabwaana zayoo kamaa wadi heshimaa yoonso, wanatagiva kufuanya hibyo idi jinaa la Filenyambe na mafugizo yasibengedia. 2 Wantumwaa wenyee ma bwaana waminidio wasiwabagau kwa sababuu ma bwaana wabasaididia kazii zobe ni wadiamini na wakukunda. kuta anga na kutangazoo mianda hedia. 3 Idipo muntu fulaanii anataangisha kwa upotofu na hayubagile ma dekelego yitu yenyee kudiaminika, ambage ni mianda ya bwana witu yesu kristu, idipo habadikubadi fugizo liongezela kwinye utaufua. 4 Muntu hugo ujivunaa na hacheeba diodiote. baagala yage, udi kashatakanyi na ma bishanu juu ya mianda. Mianda heya huubuta bwivuu, bungibwii, bitukano, shuuku bizembi, 5 na viugulu na ma bishaa nu madia kwa madia katu ya bantu benye akidi idikwagilika, waigelela kwedi. Bakwafikidi kudimba utaufua ni njeela ya kuliko mataji. 6 saasa utaufwa na kudizika ni fagida kuulu. 7 kumuna hatukuvaa na diodiote mu musenge. waala hatwezi kuchukile diodiote kukatuka mu musenge. 8 Baagala yage, tuigeshe na chakudia na mangubo. 9 saasa hudyo wadileko, kuwa na madi hukwela, musengi majadibu, musengi kitega. Hakukwela musengi ukwabumbavu ilili na taamaa beeyaa, na musengi kintu diote diote kidiwafanyela bantu bantu bantumbela musengi magangamisi na uhadibifuu. 10 kwa kwa kukundaa falangaa ni chunzo cha adina yonso za biofu. bantu ambigo hu kunda hidio wame po shwela mbadi na imanii na wamebwengela weeneye kwa huuzu ni ilele. 11 obebya wewe muntu wa fidinyambe, yagazuka mianda hedio. fuanta hakii utaufua, uaminivu, upendu, usimidifu, na upole. 12 Pigaa vitaa ilegele bya imani kuishikidia uzima wa milele ulioletwa. idilewa ni kwa sababu hidia kwaamba utela bushuuda mbedia ya maashaiidi ilele kwa kidile kidicho chemaa. 13 Nakuimpa amrii hidia mbelu za fidinyambe, ana sababwisha vintu byonso kugishi, na mbelee ya yesu kristu, alikuoza ileye kwudi kwa pantio pilato: 14 Intuza amrii kwa ukamidifu, padipo mashuka, hadii udio wa bwana yesu kristu 15 Filenyambe atahahididisha wage kwa Musengi sadidi filenyambe, mwawewa, ngufuu pegee, mlowe atawagela, Bwaana anaoyeongezwa. 16 Pekee yage udishi milele na na aigaale musengi mwinga usidiokabiwa. Kuushii muntu awegeza kumwona walaa awegeza kumukenga. kwage ile heshima na uwezo wa milelee. Aminaa. 17 waugozela matajidi mu musengi udimwenguu huhu wasijivuna, na washitumaina musengi utajidi, ambago sidio wa uhakiki baagale yage, wanampeswa kumutuma inia fidinyambe. Ambage hutuhimpala utajidi wonso wa kwedi hihi tufuradile. 18 Waugozela watendaa meema, watajidike mu musengi kazi njemaa, wawee wakadimu, na utayadi wa utoa. 19 Musengi njeela hidia wadiwekela misingi ilege kwa mianda yadiayo, hihi kwaamba wagweze kukuata maishaa hadiisi. 20 Timoteya, dindaa kyobe udi kumpela. Diapushe na majadiano ya bupumbafu na mabishaanu yenyee kudidinga ambage kwa umaanu huitewa maadifa. 21 Baadi ya bantu huyatangaaza mianda hobe, na hibyo bazaanga imanii. Nehema na ige pamosa nage.