sura 11

1 Nihisi nde mwakavumilia na nennga katika bazi jupumbafu lkine kwa kweli uvumilia na nenga . 2 Kwakuba mwanafupu kuhusu mwanganya mina wipu gwaka sapangs kwa akjili jino tangu panuhaidia mwanganya kwaka kristu kama kawali jwasapi. 3 lakine ne nyogopa kwamba kwa namna fulani kama lijoka elunkonga eva kwahila yache,mawasu gino gawesa kupotoshwa kutali kuhuma kwenye ibada halisi na sapi kwaka kilisitu . 4 kwakuba ku mfanu kwamba mundu fulane kuhika nukutangasa Yesu najonje tofaute na ajola jotumebiliya au kumfanu kwamba mwakolongu lohoo jenej tofahute enjile jene tofaute na anjela jemwajopa uhinakalia mambu aga sapi gatosa 5 Kwa kuba na holale kwamba nepane nga miongone mwa babi pundema kwa aba babachema mitume bora . 6 lakine hata kama nepane ngaseambundise katika maharifa kwa kila namuna na katika mambu gote tulihenjichi hale kumanyikana kwino . 7 Bo natei zambi kunyenyekeha namwete ili mwanganya uwesa kwinuliwa ? kwa kuba nihubili kwa uhulu kwako ili kwamba naka wesa kuwa kuhuduha mwangany 8 .Namanya makanisa ganje kukujopa msaada kuhuma kwabo ili kwamba naka wesa kwa kuhudumiha mwanganya . 9 wakati gonabi na mwanganya na kabii katika uhitaji ngasenuhelamia jokape , kwa kuba mahitaji gango gatosalishe jokape na kaalongu babaichiche kuhuma makedonia , katika kila sindu ndeikujizuia na mwete kutokuba msigo kwinu na niendaliya kuhenga ana 10 Kama kweli jaka kristu ejibi unkati jango kongo kujisifu kwango ngakwitumba katika sehemu ja akaya . sabu jache? 11 kwasababu ngase nupahile ? sapanga jumanyiche nupaile . 12 lakini sehenga , nihenga kabe , nihenga ili kwamba niwesa kuzui nafusi ja bala batamani nafusiya kuba kama etubi katika asela sela sebi kipunila . 13 kwakuba bandu bala ni mitume biisole naahenga kasi yukokonga bilinganambu bene kama mitumi baka kristu . 14 Na aje ngakusangaha makolo na aje ngakusangaha kwakuba hata lisetani jilinganambu mweni kama malaika ga nuru . 15 Aje na nukusangaha makolongu kama atumishi bache kabe kulinganambu bene kama atumishi bahaki halima jabo jibia kama matendu gabo egisita hili. 16 mbwaga kabe basi jwikuba mundu jokapi jofikili nepane nupumbafu lakine kama mwihenga unyopa nepane ngasekuhukumiwa na Bambu , lakine nonje kama numpumbafu. ili 17 niwesa kunisifu kidogo . sela nesembwaga kuhusu kongo kujiamine kwaku chipuna ngasekuhukumiwa na Bambo , lakine nonje kama numpumbafu . 18 Kwa vile bandu bonche kukipuna kwa jinzi ja yega nachipuna kabe . 19 Kwakuba mwajukuliana kwa laha na apumbapu , mwanganya mbi na busala . 20 kwakuba unzukuliana na mundu kama jwagujeje kuutumwa kama kusababisha kuba ganika kati gino kana jwa utumi mwanganya kwa faida jache , kama jwalibeka panani hewani , au kama jwa undapu pamio. 21 Nipwaga kwi iyoni hitu kwa twepani ngasetwabi zaifo sana kuhenga ana na tukona kama jokapi jwachipuna nukulonje kama upumbafu nepane kabe nachipuna . 22 je bombi ayahude ? na nepane amana je bombi ni waizaraeli? na nepane anana je bombi ni usao gwaka Abrahamu ? na nepane anana. 23 je bombi atumishi baka kristu ? nonje kama kam gahombichi malangu gango nepane ni zaidi nengubichi hata katika kasi ngumo zaide , mbala zaide jakuba kifungone kati,ka kunapu kuopete hipemo , katika kujetache hatali hinje ya kua . 24 kuhuma kwa yahudi nyopichi mala uwano " mapigu alubaini kuboa jumo " . mala hitato banapula hiboko mala jimo banapula imabo . 25 mala hitatu nanusulika meline tumi ichilu numchana katika habari wazi. 26 Na mi katika sapwali ja mala kwa mala katika hatale ja mito , katika hatali ga majambasi katika hatali kuhuma kwababndu ba mataifa katika hatali ja musi , katika hatali ja jangwa ,lkatika hatali ja bahali katika hatali kuhuma kwaka alongu ba biisole. 27 Ne mi katika kasi ngumu na katika mahisha magumuo katika ichilu jejengakugonela , katika inzala na nywita , mala hinje katika kufunga katika kipepu na heo . 28 Kutali na kila sindu senje kubi nuusukumo gwa kila lisoba juu jango gwa wasiwasi gwango kwa ajilio ja makanisa . 29 Nyane usaipo na nepane nga nusaipo? nyabjo sababisi jonji kuhabuka kusambe , na nanepane ngase nwala unkate? 30 kama nilasima nichipuna , nichipuna huhususela sekionesha uzaifo gwango . 31 Sapanga na atati baka Bamnu yesu jombi ambajo anatukuswa milele , jumanyiche kwamba nepane ngase nukonga . 32 Jola Dameski ukolongu ju mkoa pai juku mfalme Areta jwakabi julenda msingwaka Dameski ili kungumula 33 lakine bameka mwikikapo , kupete pandilisa katika ukuta na nanusulika kupita mwamaboku gache.