sura 2

1 Kwa hiyu awali ja goti mbala maombi nandua nukuombolesa nukushukuru henga kwa ajili ya bandu boti. 2 Kwajili ju ufalme na bandu boti ambapu abi umamulaka ili kwamba tuwesa kuishi maisha ga amani nutulipu katika utaua gwoti na hisima. . 3 Yeze yasapi na lelukubalika mbeli jaka Sapanga mwokosi jwitu. 4 Jombi jutamani kuba banduboti ahokuka na hapata kujimanya ukweli. 5 Kwakuba jombi sapanga jumu nujubi mpatanishi jumu katikajaka Sapanga na mwanadamu ambapu ni kristu Yeso.. 6 Juliboha mweni kuba faida kwaboti, kama ushuhuda kwa wakatimwafaka. 7 kwa sababu jenje nenamweti nilifanya kuba mjumbi gwa enjili kuba mitumi pwaga ukweli , sepwaga isoli, ne mwalimu bandu bamataifa katikahimani gakweli. 8 Kwahiyu mbala akanalomi kila mahali aloba nu kujumu maboku matakatifu bila gazabu na mashaka. 9 Haelahela mbala akambomba awata uhingo bu yehipalika, kukuheshimu nukuzuia bikuba na majunzu galochiche, ahu dhahabu ahu lulu, ahu hingobu ya galam a ngolongu. 10 Kabe mbala wata hingobu yeistaili akambomba bahakili uchaji kukupetea matendu gasapi. 11 Haka mbomba na bili bola katikahali jukutulia na kukutiti kwote. 12 Kaseandusu umbomba kupundisa hau kuba na mamalaka juu jakamwanalomi bali juishia katikahali jikinunu kutumba. 13 kwakuba hadamu aumba hoti halafu Eva. 14 Adamu kaseakonjiche lakini umbomba hakonga kabisa katika kuasi. 15 Hatahenu atendakuokoa kukupete kubelekabana kama biendele katikahimani nu upendu na katka kutakasa na malangu gasape.