Sura 14

1 Kwa makati agho, Herode wasikire habari ighu ya Jesu. 2 Akawaghoria watumishi wake, "Uyu ni Yohana mbatizaji wafufuka kufuma kwa wafwie. Kwa huwo ndinyi iri reko ighu yake."

3 Kwa wuja Herode wakogho wamwhadia Yohana akamfunga na kumdagha gerezanyi kwa sababu ya Herodia, mka wa Filipo. Kakie 4 Kwa wuja Yohana waghorie, "Si halali kumwusa ye kaka mkake." 5 Herode kumachawambwagha ela wawaboa wandu kwa sababu wamwonie Yohana ni Mlodi.

6 Ela maruwa gha kuvalwa Herode ghachafika mwaiwa Herodia wavinie ghadighadi ya wandu na kumboia Herode. 7 Katika kujibu chaaidie kwa kirwao kwamba dima wamneka chochose alambaa. 8 Baada ya kushauriwa ni mae, wadedie, "Nneke nyi aha ikombenyi chongo cha Yohana Mbatizaji." 9 Mgimbikwa wakogho na sikitiko kwa malombi gha mwai, ela kwa ajili ya kirawo chake, kwa sababu ya wose wakogho vindonyi amweri nae wawaamuru kwamba idapaswa ibonyeke. 10 Wadfumie Yohana aredigwa kufuma gerezanyi. 11 Ili ademwe chongo chake na chikaredigwa ighu ya isina na akanenigwa mwai na akakighenja kwa mae. 12 Kisha wanafunzi wake wakacha kuwusa uja muwi na kuurika, baada ya iji waghendie kumghoria Jesu. 13 Na ye Jesu wachasikira agha, akakitenga kufuma andu ajajoka ndenyi ya mashua akaghenda sehemu iko mbai na ieneo weko makati umati gwamanyie akogho, wamnughie kwa maghu kufuma mizinyi. 14 Kisha Jesu wachee imbiri yawhe akauwona umati mbaha. Akawawoniambazi na kukira makogho ghawhe.

15 Kwenyi ichatimia wanafunzi wachee kwake na kudeda, "Ihi ni sehemu ya lwangwa, na maruwa yaidakala. Watapanye makutano ili waghende vijijini ili wakaghue vindo kwa ajili yawhe.

16 Ela Jesu akawaghoria, "Ndawadae haja ya kughenda chia rawhe. Wekenyi onyo vindo."

17 Wakamghoria, Aaha dikonayo mikate misanu na samaki wawi tu."

18 Jesu akadeda, "Iredenyi kwapwa." 19 Kisha Jesu akaghuamuru umati kuka ndonyi ya nyasi. Akawukusa mkate misanu na samaki wawi. Akaguwa ighu mbingunyi, akabariki na kubegha mikate akawoneka wanafunzi. Wanafunzi wakauneka umati. 20 Wakaja wose na kughgunda. Kisha wakavikiwa andu amweri viwande vose va vindo na kuchura ngau kumi nan iwi. 21 Waja wajie wakadiriwa kuka womi elfuisanu bila ya kutala waka na wana.

22 Mara imweri wawaamuru wanafunzi wangie ndenyi ya mashua, wakati ugho ye wawalagie umati waghende chia rawhe. 23 Baada ya kuwalaga umati kughenda chia rawhe, akajoka ighu lughongonyi kutasa mweni keri. Wakati ichafika kwenye makogho uko mweni keri. 24 Ela idana mashua ikogho ghadighadi ya baahari ukiyumbayumba kwasababu ya mawimbi, kwani upepo wakogho wakuzunguluka. 25 Katika kio cha kirindiri cha kana Jesu wawakaribia, akighenda ighu ya machi. 26 Wakati wanafunzi wake wachamwona akighenda ighu ya bahari, wakogho na hofu na kudeda, "Ni mzuka," na kufunya mbaha sauti hali ya wawa. 27 Jesu akawaghoria mara imweri, akideda, "kineke ngolo! ni nyi! msaboe."

28 Petro wamjibie kwa kudeda, "Mlodi, ngelo ni we, niamuru niche kwako ighu ya machi."

29 Jesu wadeda, "cho." Huwo Petro wafumie ndenyi ya mashua na akaghenda ighu ya machi kughenda kwa Jesu. 30 Ela Petro wachawona mawimbi, waboa, na kuanza kuridimira, ndonyi, akawanga kwa sauti na kudeda, "Mlodi, nitesie!"

31 Haraka Jesu waghaghoa mkonu gwake akamwusiria Petro, na kumghoria, 'we uko na imani ndini, kwa indoi wakogho na mashaka?" 32 Niko Jesu na Petro wangirie mashuenyi, upepo gwasighie kuvuma.

33 Wanafunzi mashuenyi wamtakasa Jesu na kudeda, "Loli we ni mvalwa wa Mlungu."

34 Na wacha meria kuluwaka, wafikie katika isanga ja Genesareti. 35 Na wandu katika ieneo jija wachammanya Jesu, wadumie ujumbe kila lawande lwa mbaimbai, na kureda kila akogho mkongo.

36 Wamsihi kwamba wadime kuwhada ipindo ja ivazi jake, na wengi wawhadieghe wakiriwe.