Sura 10

1 Jesu akawawanga wanafunzi wake kumi na iwi na kuwaneka mamlaka ighu ya pepo wachafu, kuwakemea na kuwabingisa na kukira aina rose ra malazi na aina rose ra makongo. 2 Mari na gha mitume kumi na iwi ni agha. Ja kwanza simeoni (ambaye pia adawagwa Petro), na Andrea mmbari wake, Yakobo mvalwa wa Zebedayo, na Yohana mmbari wake: 3 Philipo, na Barthomayo, tomaso, na Mathayo mwhada ushuru, Yakobo mvalwa wa Alfayo, na Tadeo. 4 Simoni mkananayo, na Yuda Iskariote, ambae wamsaliti.

5 Awa kumi na iwi Jesu awadumie. Na ye wawaelekezie akideda "Msaghende andu weko wa wamataifa na msangie mizinyi kwa wasamaria. 6 Badala yake, mghende kwa ng'ondi walagharie wa nyumba ya Israeli. 7 Naandu mghendaa, hubirinyi na kudeda, ufalme gwa mbingunyi gwakaribia. 8 Kirenyi wakongo, fufuenyi wafu, takasenyi wekona ukoma na bingisenyi pepo. Mwawokera utu, funyeni utu. 9 Msawuse zahabu, almasi angushaba andu kuko pochi renyu. 10 Usawuse mkoba katika charo chenyu, angu nguwo ra ziada, vadu angu changu, kwa wuja mbonyakazi adastahili vindo vake. 11 Mzi gwogwose angu kijiji mngiagha lolonyi ambaye ndastahili na mke aja mpaka andu muingagha, 12 Mkangia nyumbenyi, lamsenyi. 13 Kama nyumba idastahili, amani yenyu iaki aja, lakini ngelo nyumba ndaistahili, amani yenyu iinge andu amweri na inyo. 14 Na kwa waja wasawawokeagha inyo angu kusikira madedo ghenyu, wakati mdainga andu kuko nyumba angu mzi uo, aghienyi lavumbi lwa chwao renyu andu aho. 15 Loli ndawagheria, ima yaka ya kustahimili karuwaruwa mizi ya Sodoma na Gomora maruwa gha hukumu kulikomzi ugho.

16 Guwa, ndawaduma kama ng'ondi ghadi ghadi, ya makoshi gha isakenyi, kwa huwo kenyi na werevu kama choka na warie sa njiwa. 17 Mke waangalifu na wandu, ima wamighenja mabarazenyi, na ima wamikaba masinagoginyi. 18 Na ima mwarediagwa imbiri ya wabaha na wagimbikwa kwa ajili yapwa, sa ushuhuda kwawhe na kwa mataifa. 19 Pindi wakashutumu, msake na wasiwasi cha kubonya angu indoi cha kudeda, kwa wuja kilambo cha kudeda ima mwanekwa kwa makati agho. 20 Kwa wuja na siyo inyo ima mwadeda, lakini Ngolo wa Aba wenyu ima wadeda ndenyi yenyu. 21 MMBari ima wamnukia mmbari wake kumbwagha, na aba kwa mwanako, wana ima wawawukia wazazi wawhe, na kuwasababishia kifwa. 22 Na inyo ima mwazamiwa na kila mundu kwa sababu ya irina japwa. Lakini wowose arumaghia gha mpaka mwisho mndu uyo ima watesiwa. 23 Andu wamitesaa katika mzi ughu, kimbienyi mzi kunughiriagha, kwa loli ndawaghoria, ndamkagha mkighenda kuko mizi yose ya Israeli kabla ya mvalwa wa Adamu ndaisire kuwuya.

24 Mwanafunzi sio mbaha kuliko mwalimu wakke, wala mtumwa akoo ighu ya Mzuri wake. 25 Idatosha kwa mwanafunzi kwamba ake sa mwalimu wake, na mtumishi sa Mzuri wake. Ikaka wamwanga Mzuri wa nyumba Belzabuli, ni kwa kiasi ki karuwaruwa ima wawakakashifu wa nyumba yake.

26 Huwa basi, msawahofu wo, kwa wuja ndakudae ilagho jisafunuliwa, na ndakudae jibisigwe jisamanyikane. 27 Chija nchidedagha kirenyi, chidedenyi nurunyi na mkisikiraa kwa ulaini madunyi ghenyu, mchitangaze mkika ighu ya nyumba. 28 Msawaboe waja ambawo wadabwagha muwi lakini ndawadae uwezo gwa kubwagha ngolo. Badala yake, mbaenyi yuja ambae adimagha kuangamiza muwi na ngolo kuja kuzimu. 29 Je kasuku wawi ndawadagwaa kwa senti ndini? hata huwo ndakudae adimagha kugwa ndonyi bila Aba wenyu kumanya. 30 Ela hata idadi ya njwi renyu rahesabiwa. 31 Msake na hofu, kwa wuja mkona thamani karuwarwa kuliko kasuku wengi. 32 Huwo basi kila umweri anikiri ya wandu, nanyi pia ima namkiri imbiri ya Aba wapwa ako mbingunyi. 33 Ela ye anileghagha imbiri ya wandu, na nyi pia imanamlegha imbiri ya Aba wapwa ako mbingunyi.

34 Msatenganye kwamba nachee kureda amani, dunikenyi. Sichee kureda amani, ela luwamba. 35 Kwa wuja nachee kumwika mundu abishane na ndee, na mwai dhidi ya mae, na mghosi dhidi ya mkeku wake. 36 Mlaghelaghe wa mundu imawaka waja wa nyumbenyi wake. 37 Ye ambae adamkunda aba angu mawe karuwaruwa kuliko nyi huyo ndanistahili. Na ye amkundagha mdawa na angu mwai karuwaruwa kuliko nyi huyo ndanistahili. 38 Ye ambae ndadukagha msalaba na kuninugha nyi ndanistahili. 39 Ye alalaa maisha imaghashaa. Elaye alaghashaa maisha kwa ajili yapwa ima aghapata.

40 Ye awakaribishagha wanikaribisha nyi, na ye anikaribishagha nyi wamkaribisha ye waniduma nyi. 41 Na ye amkaribishagha mlodi kwa sababu ni mlodi ima wawawokera thawabu ya mlodi. Na ye amkaribishagha ako na hachi kwa sababu ni mundu wa hachi ima wawawokera thawabu ya mundu wa hachi. 42 Wowose ampatiagha umweri wa watini awa, hata kikombe cha machi gha kunywa ghambeo, kwa sababu ye ni mwanafunzi loli ndawaghoria, ye ndadimaa kuwosa kwa chia yoyose thawabu yake.