Sura 33

1 Kwahiyi nambeyambe, nikuloba wenga, Ayubu upekanyehe hotuba yangu; pekaniya maneno ya yoti. 2 Linga nambeyambe, nihumukwile mkono wangu kilimi changu kibahite maneno ngati ya mkono wangu. 3 Maneno yangu yandabaya uadilifu wa moyo wangu; yandabaya kwa unyofu yalo ambayo mkano wangu uyandangite. 5 Roho ya Nnungu itikunihumba, punzi ya mwene ngubuhu itikunipa uhai. 4 Kati uweza beka maneno yako katika mpangilio nnonge yangu na kabe uuyemehe. 6 Linga, nibile kati wenga ubile nnonge ya Nnungu nitihubwa kaye boka katika ukando. 7 Lora, litisho lyangu halitakupanga wenga uyogope, wala mchigo wangu habilelihi moto kwako. 8 Ubahite kwa hakika katika mahikilo yangu nitihiyowaha lilobe la maneno yakeo yabaya, 9 Nenga ni safi na bila hila, ndopoho hatia, na ndopoho dhambi ngati yangu. 10 Linga Nnungu hubona nafasi za kunishambulia nenga, hulilola nenga kati adui yake. 11 Hubeka magolo yangu akiba, nayuwembe ulinga ndela yangu yoti. 12 Linga, katika lehee hubilelihi sawa, nakuyangwa, kwakuwa Nnungu ni mkoloho kuliko mundu. 13 Kwanamani ushindani nayuvembe? huwa habalangi makowe yake yoyoti. 14 Kwa kuwa Nnungu ulongela mara himo, naam, mara hibele, ingawa mwanadamu hawechalihi tabwaha. 15 Katika rota, katika maono ya kiloho, wakati lugono luzito pahuwapata bandu, katinga gonja mukindandaha. 16 Bahi Nnungu hubulanga mahikilo ya bandu, na kuwatisha kwa vitisho, 17 Kwa likusudi la kumuhuta mundu aboke katika makusudio yakke malahuu, na kuyabeka majivuno kuhutalu nayuwembe. 18 Nnungu huyaokoa maisha ya mwanadamu boka katika liebwe, na uhai wake dhidi ya kiwohoo. 19 Mundu huadhhiliwa pia na malahu mukindanda mwake, na maumivu makali ganayodamu katika hupa yake, 20 Ili kwamba maisha yake yatolwe chakulya, na roho yake ichukie chakulya vizuri. 21 Imyama yake ilihalibiwa ili kwamba ubohekanelihi, mihupa yake, mara himo hibonekandihi, nambeyambe bahi ng'ang'ania. 22 Hakika, roho yake yandahegelya muhilebwa na uhai wake wanda hegelya kwa balo wanaotaka kuhuharabiya. 23 Lakini kama habile malaika yuwembe cha kuwa mpatanishi kwa ajili yake, mpatanishi yumoho miongoni mwa maelfu ya malaika, kumwonesha chelo chakiba cha haki ili hapange haki, 24 Na kati malahika ni mnyonge kwake na kummakiya Nnungu, umlopwehe mundu yuhuu ili kanahashuke paye yalihebwa, niipatike faida kwaajili yake. 25 Kisha hiyenga yake yapanga mororor kuliko hiyega ya mwana, atazirudialichoba la ngupuhu za wahenja wake. 26 Amloba Nnungu, na Nnungu hampeya mundu ushindi wake. 27 Ngaa mundu hayuhu ataimba nnonge ya bandu wenga na baya, Nitendite dhambi na kuasi kelo chakibile cha haki, lakini dhambi yangu haikuadhibiwa. 28 Nnungu atikulolwa roho yangu kanahiyende paye ya liebwa; maisha yangu yayendalea kuhubona nwanga. 29 Linga, Nnungu hapanga makowehe haya yoti pamope na mwanadamu, mara hibele, naam, hata mara hitatu. 30 Kuhibuyangniya roho yake boka mulihebwa, ili kwamba aweze kumulikwa na mwanga wa maisha. 31 Ayubu, zingatia na unipekanye nenga; nyamaza nane nabaya. 32 Manahite kibile kitu cha baya, na uniyangwe; baya, maana nataka kuhakikisha kwamba wenga ubile katika haki. 33 Kama sivyo, bahi mupekaniye, utame kimya, nane nitakufundisha wenga hekima"