Sura 31

1 Nipangite mapato na minyo yangu; ni kwanamna gani kaye napaswa kumlinga mwanamwali kwa tamaa? 2 Ni sehemu gani boka kwa Nnungu kunani, na urithi gani boka kwake mwene ngupu yuwabile kunani? 3 Nibile nawacha kwamba matatizo ni kwabandu bababilelihi na haki, na misiba ni kwaajili ya bandu babapanga malahuhu. 4 Buli Nnungu hazibonilihi ndela zangu na kubalanga hatua zangu zoti? 5 Kama niyenda katika ubochoho, kati ngolo wangu uti harakisha katika ubocho. 6 Na nipimwe katika vipimo vipile sawa ili kwamba Nnungu tangite uadilifu wangu. 7 Kati hatua zangu zigalambuke boka katika ndela sahihi, kati moyo wangu utiyenda kwa kengamaminyo yangu, na kati ndoa loloti la uchafu limeng'angania katika manoka yangu, 8 Na kisha nenga nipande na mundu yuwenge na lyaha; mahuno na yang'olewe katika mng'undu wangu. 9 Na kati moyo wangu uvutiwa na mnwaubaha yuwenga, manahite nigonjike na mnwawa wa jirani yangu katika hali ya lendela katika mniyango wake, 10 Ngaa mnyumba wangu na asage vyakulya kwa mnalome yuwenga, na halalome benge na wagonje nayuwembe. 11 Na kwa lelo litakuwa ni likosa likoloho; kwa kweli, yupanga mlahuu wa hadhibiwa na waamuzi. 12 Kwakuwa ni muoto ambao uteketeza kila kilebe kwa harabia, na kwamba watiniya mauno yangu yoti. 13 Manahite natikana ombi la haki boka kwa hapangakachi wangu walalomee na alwawa wakati wahojiane nane, 14 Namani bahi nipangite nenga ndumbo hawapangitelihi wabe kaye? Buli yuwembe si yuwembe yulya yuwaluhumba twenga boti katika ndumbo? 15 Buli yuwembe yuwanipangite nenga ndumbo hawapangitehili wabe kaye, Buli yuwembe si yuwembe yulya yawatuhumba twenga boti katika ndumbo? 16 Manahite niwanyimile bandu maskini matakwa yabe, au kati nisababisha minyo ya wajane yafitie kwa lelo, 17 Manahite kati nilile kipande changu na sijaruhusu balo bangalihi na tare lela kaye. 18 Kwa sababu kitumbo mwenja wangu yotime babile pamope nane kati kati tate, nane nalimlongoya maabake, mjane, kitumbu katikka ndumbo la maabangu mwene. 19 Manahite ni mbweni yoyoti maana hahangamiye kwa kosa ngubo, au kati nimbweni mundu mhitaji manahite ndopo ngubo. 20 Manahite moyo wake haunibalikilihho kwasababu habile halijelewa lyoto na sufu ya ngondoroho yangu, 21 Manahite nitondobeya kunani luboko lwangu mchango na bandu bangali na tate kwakuwa hibweni msaada wangu katika mniyango wa mnema na kabe leto mashtaka dhidi yangu. 22 Ngaa lyangu na litombokeboka katika sehemu yake, na luboko lwangu utekwanike katika kiungo shake. 23 Kwakuwa natiyogopa uharibifu boka kwa Nnungu, kwasababu ya mawacho ya ukolo wake, mananiwechikelihi panga makowehagaha. 24 Kama ni hipangite dhahabu panga tumaini langu, na kama nibahite kwa dhahabu safi, wenga uunipangite panga na tumaini; 25 Na kama nipurahike kwasababu ya utajiri wangu wabile mkoloho, kwa kuwa luboko lwangu upatike mali yanambone, shidi yangu! 26 Manahite nilibweni jua latiwako, au mwehi wandayenda katika mng'alo wake, 27 Na kati moyo wangu utihutwe kwa siri, ili kwamba mkano wangu utihubusu mkono wangu katika ibada yako. 28 Mahalele kaye libile ni ubaya wa kuadhibiwa na waamuzi, kwakuwa nibile nni mamkono Nnungu yuwabile kunani. 29 Manahite nipulahike na huaribifu wa yoyoti ambaye anichukya nenga au kuwapeya ongera wakati majango pahawapato, ngaha ulete mastaka shidi yangu! 30 Kwakweli niluhusulili mkano wangu panga dhambi kwa kahuloba uhai wake kwa laana. 32 Manahite bandu wa hema yangu wabahitelihi. Nyahi yuwawecha pata mundu ambaye ayukutiya yakulya ya Ayubu? 31 Chata mng'eni hawalihili tama katika mbembe ya mnema, kwa kuwa lichoba lyoti niyogolwile mniyango kwaajili ya wasafilihi na kati hibilelihi nyohoo ngaa mlete mashitakaa nchago nane! 33 Manahite kati binadamu nizifichike dhambi zangu kwa hiya hatia ngatihi ya likazu langu. 34 Kwa kuwa nitihoogopa likusanyiko likoloho kwa sababu ya matwezo ya familia yalinihogopeshaa, nyohoo bahi nilinyamaza kimya na niwechikelihi yenda panja, bahi munileti mashitaka dhidi yangu? 35 Ee, kama nibile na mundu wa kunipekahya? Lora, haye nga saini yangu, na mwene ngupuhu na hayangwe! manahite hibile na shitaka rasmi ambalo adui yangu atiliandika! 36 Hakika ningepotwaha hadharani kunani ya lipamba langu; ningelibeka kunani, kati taji. 37 Nimuhelezike hesabu ya hatua zangu; na kati bana ba mfalme mwene kujihamini ningependa yenda kwake. 38 Kati kilambo ingeli dhidi yangu, na hitatu yake yalombola pamope, 39 Manahite nilile mahuno bila lepaha au kama nisababishe wamiliki wake kupoteza maisha yabe, 40 Ngaa mimwaa na hibalike badala ya ngano na magugu badala ya shayiri "Makowehe ya Ayubu yatimalizikaa"