Sura 18

1 Nga Bildadi Mshuhi atiyangwa na baya, 2 "Buli pakubawi twakotoka baya kwako? wacha na mudawenge twalongeehi. 3 Kwa namani twenga tubalangwile kati nyamaha mwitu; kwa namani tubile wapumbavu paminyo pako? 4 Wenga ambaye wajirarua mwene katika hasira yako, kilambo ipalikwalihi lekwea kwa ajili yako au miamba ipalikwa bayelwa boka katiko sehemu yake? 5 Ni kweli, bweya ya bandu balahu yabekwa panja; malimi ya muota wake hing'aralilihi. 6 Bweya yapda lubendo katika hema yake, taa yake kunani yake yuwembe yabekelwa panja. 7 Hatua ngupuhu yake zapangilwa panga hipi; mipango yake yuwembe mwene yamtomboya yuwembe paye. 8 Kwa maana yuwembe apalakumtaikwa katika kitapa kwa magoloho yake mwene; yuwembe atyanga katika mahangaiko. 9 Tanzi lyamtola yuwembe kwa kingano; kitapa wahigala kumulya kanuni yake. 10 Tanzi liyobitwe kwa ajili yake paye ya bwehe na kitapa kwaajili yake katika ndelaha. 11 Wayagoya wampanga yuwembe andayogopa kunani ya sehemu zoti; bapalakummenganga yuwembe kwenye kihingano chake. 12 Utajiri wake wagalambuka panga njalaha, na matatizo yapanga tayari upande wake. 13 Mahali za hiyenga yake zabile batemelaha, Hakika, mmelekwa wa kwanza wa kiwoho atazila sehemu zake yuwembe. 14 Yuwembe atikumkalambuyaha boka kwenye udalama wa hema yake awechalihi tyanga yenda kwa mfalme mwene hutisho. 15 Bandu ambao bakelihi wapalatama kwenye hema yake baada ya bona wolo muhoto imeshaneya ngati ya nyumba yake yuwembe. 16 Ndandahi yake hipala yamaha paye yake; kunani tawi lake yuwembe laipelakatwa. 17 Kumbukumbu lake yuwembe litehobaha boka katika kilambo, yuwwembe hapanga na lina katika mtaa. 18 Yuwembe hapala bebgelwa boka katika bweyaha mpaka kwenye lubendo na panga utibengelwa panja na ulimwengu hawoho 19 hapalalipanga na mwana mnalome wala mchokolo mihongoni mwa bandu bake, wala kizazi chochoti chaki bahigala sehemu atamapo. 20 Balo babatamanya upande wa magharibi bapajiliya hofu kwa kilo chakilwapita kwake lichoba limo; balo babatamanga upande wa mashariki wapala yogopeshwa kwa kilo. 21 Itakika yelo ni nyumba za bandu bababileli na haki, ni mahali ya walo bamtangitelihi Nnungu.