Sura ya 3

1 Kisha Yahwe anilangii Yoshua kuhani nkuluu ayimii nnungu ya malaika wa Yahwe na shetani ayimii luboka lwake lwa nkiya kunchitakya kwa ajili ya chambi. 2 Malaika wa Yahwe aniakiye shetani, Yahwe na akubendii, Yahwe,, ywaauchawi, Yerusalemu, akubendii, '' buli achii kinga li chakipiilwe kumwoto''. 3 Yoshua abile na ngubo chapu payimii nnungi ya malaika. 4 Malaika abakiye babayimi nnungi yake, mmumule ayo ngubo chapu'' kisha amakiye Yoshua, linga '' niubuyite kulau wako na na kuwalika ngubo safi'' 5 Haya mungwali kilemba safi mutwee' Hivyo babeli kilemba safi patwee wa Yoshua na nakungwalika ngubo safi wakati malaika wa Yahwe ayimii pambwega. 6 Kisha malaika wa Yahwe anagii Yoshua na baya. 7 Yahwe wa majeshi abaya nya. mana watyanga katika ndila yangu na tunza amri yangu nga ywaisimamia nyumba yangu na lindela lua lwangu, kwa maana na kuhusu yenda na buka kati ya babayima nnungi yangu. 8 Wenga Yoshua kuhani mkulu na aino babaishi nawenga, mupikani. Bandu baa nga ishara, kwa kuwa nenga namwene nankakati ya ntumishi wangu ywakemelwa tawi. 9 Mulilinge liwe lamilibikite nnungi ya Yoshua kuina minyo saba kunani ya liwe alee limo, nanee naandika makoe panani yake abaya Yahwe wa majeshi nenga na buya chami katika kilambo chei kwa lichuba limo. 10 Katika lichuba lyo kila mundu ankoka jirani yake tama pai ya mzabibu na mtini wake' abaya Yahwe wa majeshi.