Sura ya 10

1 Mulobehe yohwe hula wakati wakipepwe Yahwe ywapapa hula wa njahi - naywe panga hula hanyehe kwa kila yumoho na mahakapi mmende. 2 Kwani hinyao ya bene nyumba hibaya hubochoho, aganga babaya hubochoho,, babaya lota kwa ubochoho na pia faraja kanguli kilebehe, nyoho banda hobaha kati ngondo loho na banda lumihaya kwa sababu ndopo ho mchungaji. 3 Nyongo yangu yanda wakaha husu wachungaji ni mabeberu - viongozi - banipola kuwahozibu Yahwe wa majeshi hapakuwa hudumia kae ngondoloho bake, Nyumba ya Yuda, na kuwapanga kama farasi bake ba vita. 4 Boka kwabe lahapita liwe likoloho lapabwega boka kwabehe chapita kigingi cha hema. boka kwabe lahapita lupinde wa vita boka kwabe bahicho viongozi boti kwa pamope. 5 Banganya kati mashujaa babalibata maadui babe katika matope ya muhita vitani, bapanga vita kwa mahana yahwe yu pamope na yumbehe Maboho bapaku wahahibisha wahoboka farasi wa vitaha. 6 Nayelya ngupuhu nyumba ya yuda na yeya ngupuhu nyumba ya Yusufu, kwani na buyanga ania na hurumiya bapanga kati na bohite lihi, kabe nengaho ni yahwe Nnungu babe, nane na yeketya. 7 Mgahe Efraimu, atapanga kama shujaha, namihoyo yabe yapurahika kati kwa wimbi, banabake ba bonu nupulahika mioyo yabe yani pulahikiya. 8 Moyoyotya ka kusanya, kwani na kombwa, na bembe hapanga wakoloho kati chababile potumbu, 9 Na hobwike kati ya bandu, lakini bahani kumbokya katika kilambo cha kulipe, nyoho bembe na bana babe batama na buyangano. 10 Kwa maana na buyanganiya boka kilambo ya misri na bakusanya boka Ashuru. Mahaleta katika kilambo cha Gileadi na Lebanoni mpaka pipona panga mtopoho nafasi kahe kwahaji yabe. 11 Nahapitaha katika bahari ya mateso yabe, nagakobwaa mawimbi ya bahari yabe na nayomeya lope lwote vya mile. Utukufu wa Ashuru wahuluywa pahe, na kakola ya misri ya yendaa kulipahu boka kwa wamisri. 12 Nayeya ngupuhu boka kwa na mwene, nabembehe batyanga katika lina lyangu abaya yahwe.