Sura 8

1 Vyedi ne kuwa kama kaka yangu, mwekonka tombo da mmaa. Ili kwamba kia mnikakuona chongoi, ne nkikubusu bila ya mtu kunizalau. 2 Ninda nikuongoze na kukueta kwe nyumba ya mmaa na undaunifundishe. 3 Mkono wakwe wa kumoso usi ya mutwi wangu na mkono wa kuume wanikumbatia. Uku mvyee atamuia na wavyee watuhu. 4 Nafaigwa muape, mabinti wa wagosi wa yerusalmu, kiuwa nkamna mvuu ge mapenzi yetu mpaka ndiho ya eiye yenye. wavyee wa yerusalemu watamuia . 5 Undai uyu mweza kuawa kwe nyika, kamwengamia mpenzi yake? Mvyee mdodo uku atamuia na mpenzi wakwe, nkikwenua si ya mti wa mpea, hada mami yako ekudoaho mimba, hada akakuvyaa, eakefungua wewe. 6 Niike kama mhuli kwe moyo wako, savia mhuli he mkono wako, kwa mapenzi yana nguvu inga mauti, mapenzi mazito nkayona kuuyauya kama uitavyo kuzimu, sese zakwe zalipuka, ni sese zazo, ni sese zenye joto kuliko moto wowose. 7 Mazi ye kuzukayo nkayadaha kuukoma moto unu, wala mafuriko nkayada kuusa. Mgosi akaavya mai zakwe zose kwa ajii ya upendo, ukaimu wakwe undauzalauliwe. Kakize na mvyee mdodo wakatamuia naye. 8 Tima dada mdodo, na matombo yakwe nkayazati kufunduka. Ni kihi nndatimgosoee umo akenda kutengulwa. 9 Kama ni ukuta, nndati mzengee uwanga ya mnala wa fedha, Kama ni mwaango nndatiupambe kwa mbao za enezi, Kavyee kadodo katamuia ukedu. 10 Nkiwa ukuta, akini matombo yangu sasa ni kama nguzo imaraivyo nkidaaha kaye he meso yakwe. Kavyee kadodo katamuia mwenye. 11 Sulemani kawa na mnda wa mizabibu uko Baali Hamoni. Kawakodishia wada ambao wandawaditunze. Kia yumw aondigwa aete Shekeli elfu mwenga za hea kwa matunda yakwe, 12 Mnda wa mzabibu ni wangu, shekeli eflu mwenga ni kwako, Sulemani mpenzi, n shekeli mia mbii ni za wada watunzao matunda yakwe. Mpenzi mvyee etamuia naye. 13 Wew mwekaa aha he bustani, wambuya wangu wategeeza sauti yako, eka nami misikie sauti pia, kavyee kadodo katamuia na mpenzi wakwe. 14 Kinyanyi, mpenzi wangu, na uwe kama mphaa, au kazana mphaa mwe miima ya manukato.