Sura 3

1 Nakio mwe usazi wangu neee nnahovu na yeye nimkundaye, nikamuonda akini nchekumpata. 2 Mwenye nikamba, vitongoji na gwiiyo, nenda nimuondeze, "Nkimuonda, akini kumpata. 3 Waklinzi wanipata wekuwaho mwe dolia mwe mzi nikawauza, "Mmuona mndee ywangu? 4 Nibaada ya mda, Nee namtoza na nchee kumweekea kiaga nekumweetaho nyumbai mwa mmaa gati kwa mmaa mwekunenua mimba. Mvyee akatamwiia na wavyee watuhu. 5 Nafaigwa mweise wandee na wagosi wa Yelusalem, kwa ayala na npaa wa kwemani kuwa nkamna mbanange mapenzi yetu kiamuo yendaho yasiye mwenye, Mvyee mdodo atamwii wenye. 6 Kaua usazi wa Seemani, masujaa sitini wauzuunguka, wanajeshi sitini wa Israel. 7 Woo ni wazoefu wa upanga na wanaujuzi wa nkondo 8 Kia mgosi ana upanga wakwe nkandai akejizatiti kwa maasi ya kio. 9 Mfaume seemani akezenga kiti cha kifaume cha kwe nulww na mbao za Lebanoni. 10 Nguzo zakwe nee zizengwa kwa feda; nyuma kiti na kikwa zahabu na kitambaa cha zambaau. ndani mwakwe nee kuhambwa na ukundiso na wandee wa wagosi wa yelusalemu. Mvyee mdodo atamwiia na wavyee wa Yelusalemu. 11 Hita chongoi, wandee wa wagosi wa Sayuni, na mkauwe mfaume Seemeni, akavika siku ya wia, wakwe mwe siku ya kinyemi cha maisha yakwe.