Sura 2

1 Ole wao waafyao kugosoa ubaya, kwa wada waafyao mwe sazi zao kugosoa ubaya. Wakeo wayagosoa kwa kuwa wana nguvu. 2 Watamani minda na kuihunguza, watamani nyumba na kuzidoa, wazuumu mntu na nyumba yakwe mntu na upazi wakwe. 3 Kwa iyo Muungu (yahwe) amba ivi "Kawa ni hehi na kwenata ubanasi mwe ihii mbai ambayo nkamneziavyo singo zenu. Nkamma kwende kwa kibui kwa ajili ndaiwe ni wakati wa ubanasi. 4 Iyo siku wabaya wako wandawaimbe wimbo ndio ukuhusu na kuomboleza maombolezo ya ukiwa. Warelawaimbi ivi "si waisraeli tianganuizwe kabsa, Yahwe (Muungu) abadiisha eneo da wantu wangu je ondaadiuse viwihi kuawa kwangu? wapangiwa minde yetu kusaliti. 5 Kwa ajili iyo nyie wantu mataajii nkamna mwe uvyazi wa kupungana maeneo kwa kutoa kura mwe nikunteno ya muuga 6 Msekutabii. "waamba, Ivi, Nkawanawayatabii wazitabii izi mbui, Lawana nkazina ziawiie. 7 Je ndadigombekwe kwei nyumba ya Yakobo. "Je roho ya Muungu? Je aya ni matendo yakekwee? 8 Ivi hehi hehi wantu wangu wemka enya wabaya (maaduu) mdime joho nguo kuawa kwa wada wembokao weseaokushtumizwa enga wankondo kuuya kwa ukondo kwa via waakefya vyo kwandoa kuhoa. 9 Mwawakefyakefya wavyee wangu kwa wantu waingu wakuwe mwe nyumba ntana, Mwadoa baraka kuawa kwa wana wadodo siku zose. 10 Enukani mhauke kwa kuwa hana nkio hanthu mdahaho kwekea kwa ajii ya unajisi wakwe. Ibanangwa kwa ubanasi kabisa. 11 Ati mntikuu akeza kwenu kwa roho ya umbea akawahufya akamba nnd'anitabii kwenu kwa mbui ya mphombe na ukozi mkei mwada mifikii kuwa ni mtabii kwa ajili ya awa wantu. 12 Notaniwaete hemwe wose, Yakobo. Kiukweli n'ndaniwakusekue wekusigaao Israel. Ndaniwaete hemwe enga ngoto mwe dewe, enga kundi da wayama kwe dewa, enga kundi da wanyama kwe uusi, ndakuwe na vuzo kwa ajii ya wingi wa wantu. 13 Mnthu mmbonda avigua sia zao kwa ajii ya kuita mbele kwao. wabomoa kwembokea mwaango na kulawa chongoi. Mkuu ywao (mfalme) andaemboke mbele yao Muungu (Yahwe) andawaongaee.