Sura 5

1 Ndiho Hagai nabii na Zakalia mwana Ido nabii wakatea kwa zin da Zumbe Muungu ya Zilaeli kwa Wayahudi wa Yuda na Yelusaeu. 2 Zelubabeli mwana Shealitieli na Yoshua mwana Yosaaki wakenuka na kuvoka kuzenga nyumba ya Zumbe Muungu Yelusalemu hamwe na manabii ambao wawahamasisha wowo. 3 Ndiho Tatenai Mkuu ya mzi ng'ambu ya mto Shezal - Bozenai, na mshilika yao, wakeza na kugombeka kwao, "Nndai mwekumyenka angiizo da kuzenga nyumba inu na kuutenganya ukanto?" 4 Viavia wagombeka, "Ni mazina ya wantu wahi wahiazikao na uzengi unu?" 5 Mia ziso da Zumbe Muungu nee di hamwe na viongozi wa Wayahudi na wankuu wao nkaokudaha kuwakindia. Nee wakagoja baua kwegalwa kwa mfaume na amli kunya kwao kwa ajii ya suala idi. 6 Inu ni nakala baua kwa Tatenai, mkuu ya mzi ng'ambu 7 ya mto na Shezal-bozenai na wezwaao mwe mzi ng'ambu ya Mto, wekuao wawatuma kwa mfaume Dalio. Wakegaa saamu, wakaandika kwa mfaume Dalio, "Neho na iwe kwenu." 8 Mfaume amaye kwamba neetiita Yuda kwe nyumba ya zumbe Muungu Mkuu. Izengwakae kwa maiwe makuu na mbao ziikwa mwe ukatanto. Inu ndima yagosoka kwa utaatibu na yaendelea vyedi kwa mikono yao. 9 Nndatiwauze wadaa, n'ndai mwekuwenka angiizo za kuzenga nyumba ukanto?" 10 Pia tiwauza mazina yao ili kwamba wamanye mazina ya kia muntu mwekuae kawaongoza. 11 Nao wakatitambaisa na kugombeka, "Swiswi ti wandima wa Zumbe Muungu wa mbingu na sii na swiswi taizanga nyumba inu yekuayo izengwa myaka mingi yekwembokayo ukati mfaume mbkuu ya zilaeli kuzenga na kuibindiiza. 12 Etiho, wekutiongoeao wekumuifyaho Zumbe Muungu ya mbingni, Muungu akawagea mwe mwekuae kabonda nyumba na kuwadoa wantu mateka Babeli. 13 Pia, mwe mwaka wa bosi wa kutawala Koteshi mfaume ya Babeli, Koleshi kaamuu nyumba ya Zumbe Muungu kuzengwa. 14 Mfaume Koleshi pia, kavuza vintu vya zahabu na feza vya nyumba ya Zumbe Muungu vyekuavyo Nebukadineza kavidoa kwe hekalu Yelusalemu na kuvyegaa kwe hekalu Babeli. Naye akavitunduia kwa Sheshibaza, mwekuae kamsagua kua kiongozi. 15 Nae akamwamba, Doa ivi vintu. Uhauke na kuviika kwe hekalu Yelusalem. Na nyumba ya Zumbe Muungu izengwe kuda. 16 Ndiho uyu Sheshibaza akeza na kuika msingi kwe nyumba ya Zumbe Muungu mwe Yelusalem: na ikasongwa n'kuzengwa, mia nkaizati kubindiikia. 17 Sasa ati nndaimtamie mfaume, na usunguumanyi ugosoke kwe nyumba ya ukumbusho Babeli ikawaaho hukumu ya mfaume ya Koleshi ya kuzenga nyumba ya Zumbe Muungu Yelusalem. Na mfaume adaha kutuma uahi wakwe kwetu.