Sura 2

1 Awa nee wantu kwejimbo wekudoigwao mateka na kuita na Mfalme Nebukadneza, nae kawadoa utumwani Babeli, wantu wakagotoka kwe sii yao ya yerusalemu na Yuda. 2 Weza hamwe na Zerubabeli, Yoshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari Bigwai, Rehumu, na Baana Inu nee idadi ya wagosi ya wantu wa Israeli. 3 Waporoshi: 2, 172, 4 Wana wa Shefatia:372, 5 Wana wa Ara: 775, 6 Wana wa Path-Moabu kwembokea Yeshua na Yoabu: 2,812. 7 Wana wa Eliamu: 1,254. 8 Wana wa Zatu: 945. 9 Wana wa zakai: 760. 10 Wana wa Binui: 642. 11 Wana wa Bebai 623. 12 Wana wa Azgadi: 1,222. 13 Wana wa Adonikamu:666. 14 wanawa Bigwai: 2,056. 15 Wana wa Adini: 454. 16 Wana wa ateri kwembokea Hezekiah: tisini na mnane. 17 Wana wa besai: 323. 18 Wana wa Herifu: 112. 19 Wagosi wa Hashimu: 223. 20 Wagosi wa gibeoni: Tisini na shano. 21 Wagosi wa Bethelehemu: 123. 22 Wagosi wa Netofa: Hamsini na sita. 23 wagosi wa Anathothi: 128. 24 Wagosi wa Beth-Azmawethi: Alubaini na mbii. 25 Wagosi wa Kiriath-Yearimu, Kefira, na Beeroth: Mia saba na alubaini na ntatu. 26 Wagosi wa Rama na Geba: 621. 27 Wagosi wa Mikmashi: 122. 28 Wagosi wa Betheli, na Ai: 223. 29 Wagosi wa Nebo: Hamsini na mbii. 30 Wagosi wa magbishi: 156. 31 wagosi watuhu wa Elamu: 1,254. 32 Mnane. Wagosi wa Harimu: 320. 33 Wagosi wa Lodi, na Hadidi, na Ono: 725. 34 Wagosi wa Senaa: 3,630. 35 Wagosi wa Yeriko: 345. 36 Wana wa Yedaya kuhani wa nyumbaya Yoshua: 973. 37 Wana wa Imeri: 1,052. 38 Wana wa Pashuri: 1,247. 39 Wana wa Harimu: 1,017. 40 Walawi: Wana wa Yeshua, na kadmieli, wana wa Hodavia: Sabini na nne. 41 Waimbaji hekaluni wana wa Asafu: 128. 42 Walinzi wana wa shalumu: Ateri na Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai: 139 jumla. 43 wada wasagulwa kuhudumu mwe Hekalu: wana wa Sina, Hasufa, Tabaothi: 44 Keros, Siaha, Padoni. 45 Lebana, Hagaba, akubu, 46 Haga, Salmai, Hanani. 47 Wana wa Gideli, Gahari,reaya. 48 Resini, Hekoda Gazamu. 49 Uza, pasea, Besai. 50 Asna, Meunimu, Hefusimu: 51 Wana wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri. 52 Basluthi, Mehida, Barsha. 53 Barkosi Sisera, Tema, 54 Nesia, Tefa. 55 Wana wa wandima wa Selemani: Wana wa Sotai, Soferehi, Peruda. 56 Yaala, Darkoni, Gideli. 57 Shefatai, Hatili, Pokereth-Sebaimu, Amoni. 58 Wawa jumla ya wandima mia ntatu tisini na mbii wekusagulwao kugosoa ndima mwe Hekalu hamwe na wana wandima wa Seemani. 59 Wada ambao waawa Tel-mela, Te-harsha, Kerubu, Adani, na/meri, nkaokudaha kuhtibitisha kivyazi chao kiawiya Isaeli. 60 Hamwe na mia sita hamsini na mbii wana wa Delaya, Tobia na Nekoda 61 Viyaviya kuawa kwa wana wa kuhani; wana wa Habaya, Hakosi, Barzilai (Mwekupata mvyee kuawa kwa mndee wa Barzilai, mgileadi na aketangwa kwa zina dao). 62 Waondeza kumbukumbu ya kivyazi chao, akini nkachokupatina, ivyo wakauswa kwe uhuhani kuwa nkiyo wasafi. 63 Ivyo kiongozi akawaemeza wesekuda vikintu chochose kitakatifu chekung'azwacho mpaka kuhani wa urinu na Thumimu athibitishae. 64 Jumla ya bunga 42,360, Ukausa wandima na wasaidizi (wa wawa 7,337). 65 Waimbi Hekaluni wagosi na wavyee (mia mbii). 66 Faasi wao: 736, Nyumbu wao: 245. 67 Ngamia wao: 435. Mpunda wao: 6,720. 68 Wekutaho kwe nyumba ya Yahwe Yerusalem, wakuu wa wakina-tate weavya hiari kuzenga nyumba. 69 Waavya kadii wekudahavyo kwe kusaidia ndima Dhahabu za darkoni sitini na mwenga elfu, mane za heya shano na mavazi mia mwenga ya makuhani. 70 Ivyo, makuhani na walawi, wantu, waimbi hekaluni, na walinzi he- mwaango, na wada wekusagulwao kugosoa ndima kwe hekalu wekaa kwe mizi yao. Wantu wose kwe Israel waw kwe mizi yao.