Sura 7

1 Ivi ne Zumbe ekuniangizavyo kauwa kawaumba bunga kui da sige wakati wa kuhota kwa mbeyu na kauwa ne mbeyu ya mwisho baada ya ubosi wa mfaume. 2 Wekubindaho kuda mboga mboga za sii ne amba Zummbe 3 Yahwe tafadhali nifia mbazi, hambu Yakobo endaekae vii vihi? kwa via yeye ni mdodo sana. 4 Ivi ne Zumbe Yahwe akuniangizavyo kaua Zumbwe Yahwe aketanga uanga ywa moto wa uwahio. Ne wanyaa sana kiindi si ya dunia kukunda kuyoka si pia. 5 Akini nikamba Zumbe Yahwe eka tafadhai Yakobo endaekae vii vihi? kwa kuwa yeye ni mdodo sana. 6 Yahwe akaeka kuhusiana na idi idi nkadinadiawe vituhu akamba Zumbe Yahwe. 7 Ivi ne Yhawe ekuniangi zavyo kauwa Zumbe kagooka hehi ya ukanto hamwe na uzi wa timazi mwe mkono wakwe. 8 Yahwe akanamba, "Amosi, waonani? nikamba, "Uzi wa timazi." Miongoni mwa wantu wangu Israeli. Nkinani wa bange vituhu. 9 Hantu ha uwanga ha Isaka hondahabanigwe, hatakatifu ha Israel handahaangamia na nendaninukie nyumba ya Yeroboamu kwa uhamba." 10 Ne Amazia yuda kuhani wa Betheli akaagiia saamu kwa Yeroboamu mfaume wa Israeli. Amosi kagosoa njama zidi yako gatigati mwe nyumba ya Israel. Sii nkaidaha kwenda mbui zose izi. 11 Kwa kua ivi ne ambavyo Amosi, Yeroboamu endaafe kwa uhamba, kwa kwei Israeli yondaiite kwe utumwa kukawa sii yakwe." 12 Amazia akamwamba Amosi mtamiamuo, hita guuka uite sii ya Yuda, na aho ude mkate wa kuoteea. 13 Akini kwa via hatakatifu ha mfaume he nyumba ya mfaume." 14 Ne Amosi akamwamba Amazia, mie nkie nabii wala mwana nabii. Mie ni muisi na mtunza mimkuyu. 15 Akini Yahwe akanidoa kulawa muisi na kunamba, Hita ukaotee kwa wantu Israeli, 16 Tegeeza mbui za Zumbe Yahwe we ugombekaye, usekuotea kuhusu Israel na usekutamwia mbui za nyumba ya Isaka. 17 Ivi ne ambavyo Yahwe ambavyo, mkazio enda awe mkainga mwe mzi wanao wakigosi na wakivyee wenda wangwe kwa uhamba. Sii yako inda i himwe na kupangwa, undaufe mwe sii ya najisi na Israel ondauite utumwani kulawa mwe sii yakwe."