Sura 2

1 Ivi ne Yahwe ambavyo, kwa zambi ntatu za Moabu, hata nne, nkibadiisha azabu kwa sibabu koka moto mavuha ya Mfaume wa Edomu mpaka yawa chokaa. 2 Nnda nimitumie moto Moabu, na undawoe ngome za Keriothi, Moabu anda afe mwe vulungu, hamwe na vuzo na sauti ya gunda. 3 Mvumizi yakwe nndani muuse na kuwakoma wana wa mfaume hamwe na yeye," amba Yahwe. 4 Ivi ne Yahwe ambavyo, kwa zambi ntatu za Yuda, hata zikabua mwe nne nkinanibadiishe azabu kwa sibabui waemea sheia ya Yahwe na kwesekutoza amli zakwe. umbea umsongezea kwaga, ambao tati zao pia wautongea. 5 Nnda nitume moto kwa Yuda, na kuimeza ngome ya Yerusalemu." 6 Ivi ne Yahwe ambavyo, kwa zambi ntatu za Israeli, hata mwe nne, nkibadiisha azabu, kwa sibabu wawataga wesao kuwa na kwa hea na masikini kwa jozi ya malapa. 7 Nao wajata uwanga uwanga mwe mitwi ya masikini kama via wajate mwe mavumbi ya sanga, uku wasukuma na kuikandamiza. Mtu yumwe na tati yakwe wenda na mndee yumwe, na ivyo ne kufuu ya zina dangu takatifu. 8 Nao wagonasi hehi na kia mazabahu mwe nguo zenye zamana, na mda mwe nyumba ya Muungu wanywa divai ya wada wekuwato zao faini. 9 Bado nkimuanga miza Mwamoni he meso yao, ambaye urefu wakwe uwa kama urefu wa mierezi, he kawa na nguvu kama mialoni. Vituhu nikabananga matunda yakwe ya uanga ha mazindo yakwe ya si. 10 Pia nkiwekweza kulawa si ya Misiri na kuwaongoza, miaka alubaini nyikani ili mmiliki si ya Wamori. 11 Nkiwenua mananii kulawa miongoni mwe wana wenu watende wanadhiri kulawa mwe vijana wenu. Je nkio ivyo, wantu wa Israeli? Ivi ne ambavyo Yahwe. 12 Akini muwashawishi wanadhiri kunywa mvinyo, na kuwaamuru manabii wasekugosoa unabii. 13 Kaua, nndani wajeta kama via mkokote ni wekumemao mzigo, udahavyo kumjata muntu. 14 Mntu mmyiika nkapata guukio, mwenye nguvu nkaongoza nguvu zakwe mwenye, wala shujaa nkeokoa mwenye. 15 Mpindisha uta nkanaagooke, mguukaji sana nkana adahe kuguuka, muendeshaji wa farasi nkeokoa mwenye. 16 Hata mashujaa nndawaguuke mwazi mwe siku iyo, ivi he asemavyo Yahwe."