Sula 5

1 Hiramu mfaume wa Tire wakatuma wandindima wakwe ka Seemani kwa kuwa kasikia kuwa wamtawaza kuwa mfaume hantu ha tati yakwe, Kwaajii Hiramu kamkunda Daudi. 2 Seemani akagaa ujumbe kwa Hiramu, akagombeka, 3 Wamanya kuwa Daudi tate mimi nkeku zega nyumba kwazina da ZUMBE, Muungu yakwe kwa sibabu ya zia nkondo zekumzungukazo, 4 Mia sasa ZUMBE kanenka mimi, Nihumwize kulawa npande zose, Nkakuna wankuu wala. 5 Kwa iyo nakunda kuzenga hekalu kwa zina da ZUMBE, Muungu yangu enga Zumbe ekugombekavyo mwe tate Daudi tate mimi, akagombeka, mwana ambae nendanimwike mwe kiti chako enzi hantu hako, Nee mwendie anizengee hekalu kwa zina dangu,' 6 Kwa iyo amulu wasenge mielezi kulawa Lwbanoni kwa ajii yangu. Wandima wangu wendawaungane na Wandim wako, mie Nendamihe kwa ajii ya wandima wako ili kwamba upande kuihwa vyedi kwa kia kintu wandacho ukunde kukigosoa, kwaajii wamanya kuwa nkakuna muntu mweao mwetu mmanya kusenga miti enga wasdoni." 7 Hiramu ekusikiaho mbui za Seemani, akatamiwa mno akabombeka "Zumbe a abalikiwe ivyeo, ambae kamwenka Daudi wa hekima uanga bunga idi kuu." 8 Hiramu akatuma mbui kwa Seemani, akagombeka, "Ni uda ujumbe Nkikiupata wekunitumiao, Nenda niavye miti yose yamielezi na miti ya mibereshi ambayo waikunda. 9 Wandima wangu wendawete miti kulawa Lebanoni mpaka bahalini, nami nendani endeshe bahalini mpaka hantu wendaho unielekeze, Nendaniipange hada na wenda uidoe, wendaugosoe kia nikundacho kwa kuwenka nkande Wandima wangu," 10 Kwa hiyo Hiramu akamwenka miti yose ya mielezi na miti ya mibeloshi ekukundayo. 11 Seemani akamwenka Hiramu koli ishiini elfu za ngano kwaajii ya nkando ya wandima wakwe na koli ishiini za mavuta matana, Seemani akavilavya ivyo kwa Hiramu mwaka baada ya Mwaka. 12 ZUMBE akamwenka Seemani viugo enga ekuavyo kaika kiaga, kukawa na npeho gati Hiramu na Seemani na wose waidi wakagosoa Kiaga. 13 Mfaume Seemani akaanda wagosoa ndimia kulawa Islaeli yose. Hisasabu ya wandima wekuandaliwao Ikawa ni wagosi elfu saasini elfu Saasini. 14 Akawatu kuita Lebanoni, akawatuma kwa uzoa wa wantu elfu kumi kia mwezi, Kwa mwesi umwe wakaita Lebanoni na miezi miidi wakekaa nyumbani, Adonilamu nee mwekuwa mgookezi wa wandima, 15 Seemani kawa na wantu elfu sabini wekua wo wekenua mizigo na wantu elfu semanini wa kutua maiwe miimani; 16 kwemboka ayo, kuwa na maakida 3,300 ambao pia wawa wakaigookea iyo. 17 Kwa amli ya mfaume wakaeta maiwe makuu ya samani kwaajii ya kulaza msingi wa hekalu. 18 Kwa iyo wazengaji wa Seemani na wazengaji wa Hiramu na Wagebaliti wakagosoa ndima ya kusenga na kuandaa mbao kwa ajii ya zengo da hekalu.