Sula 17

1 Eliya Mtishibi, kulawa Tisibi yaGileadi akamwamba ahabu, "Kana BWANA, Zumbe Muungu wa Isiraeli eishi vyo, ambae nagooka, nkhakondakuwe na nyozo wala fua ikesekuwa kwa neno dangu." 2 Kisha neno da BWANA, dikamwezea Eliya, dikagombeka, 3 "Hauka aha yite mashaliki; ukefise hehi na Kamfeeji ka Kerithi, mashaliki mwa Yorodani. 4 Nawe wonda unywe mazi ya Kamfeeji, na nkhiwaamulu kunguu kukuisa hantu aho." 5 Kwaiyo Eliyo akaita kamanenoda BWANA dekumu amuuvyo. Akaita kuishi hehi na kamfeejii ka Kerithi, mashaliki mwa Yorodani. 6 Nao kunguu keo wakamuetea mkate na nyama, na mkate na nyama guoni, nae akanywa mazi ya kada ka mfeejii. 7 Lakini baada ukati uda kada Kamfeejii kakanyaa kwa ajii ne nkhakuna fua mwe si. 8 Neno da BWANA dikamwezea, dikagombeka. "Enuka uite Sarepta, ambao ni mzi wa Sidoni, na ukekae uko. 9 Kauwa nkhimwamulu mvyee mwekufiiwa akuise. 10 Kwaio akenuka akaita Seropta, kubuaho mwe Langoda mzi, ne kua na mvyee mwekufiiwa ne kua na mvyee akatema nkhuni, kwaiyo akamwetanga akamwamba," Tafazali nietea mazi mwe winga nnywe." 11 Naye ekuaho akaita kueta mazi akamwetanga, akamwamba, "tafazali unietee kipande cha mkate mwe mkono." 12 Naye akamjibu, "Kana BWANA Zumbe Muungu wako eishivyo, nkhina mkate wowose, akini khonzi mwenga ya uanga mwe chombo na mavuta kidogo mwe nchupa. Kauwa, natema nkhuni mbii ili niite kwemli ka kwa ajii yangu na Mwanangu ili tide tigoje kufa. 13 Eliya aka mwamba, Usekuogoha. Hita ukagosowe kana ugombekabyo.akini unigosoee mimi kwanza na unietee. Nae halafu wego sowee wewe na mwanao. 14 Kwa via BWANA, Zumbe Muungu ywa Isiraeli agombeka Dia pipa da unga nkhadina disie, wala ida nchupa ya mavuta nkali heya kulavya mavuta, kiamuo siku ida BWANA ondaho atume fua mwe du nia." 15 Kwaiyo yuda nvyee mwekufiiwa akagosoa kana Eliya, na mwanae wakada kwa siku yingi. 16 Dia pipa da unga nkhadekusia wala ida nchupa ya mavuta nkhayekuheya kulwavya mavuta, kana via neno da BWANA dekugombekavyo, kwembokea mwe kamwa cha Eliya. 17 Baada ya izo mbui, yuda mwana ywa yuda nvyee, yuda mvyee mwnye nyumba, akahuma. Uamu wakwe ukatendsa akai sliwa npungia kabisa. 18 Kwaiyo mani yakwe akamwamba Eliya, "Je, una mbwai na mimi, ewe mntu ywa Muungu? Je, kweza kangu ili unikumbuse zambi zangu na umkome mwanangu?" 19 Naye Eliya akamjibu, "Nenhe mwanao. "Amwenua mwana mwe mikono yakwe akamwegao mpaka gati ekuwamo mwanao. akamwenua mwana mwe mikono yakwe akamegaa mpaka gati ekuwamo akekaa akamgoneza yuda mwana hada heusazi wakwe mwenye. 20 Akamwia BWANA akamba "BWANA Zumbe Muungu ywa ngu, kwambwai kaeta kiozo kwa mvyee mwekufiwa ambaye mimi nekaa, kwa kumkoma mwana? 21 Akaawaaho kabinda akegeoo mwenye uwanga ya mwanamaa ntatu; akamwia BWANA akamba, "BWANA Zumbe, tafazali meso ya uyu mwana yamuiliye." 22 BWANA akategeeza mwio wa Eliya; meso ya mwana yakamiliya, na akawa mgima. 23 Eliya akamdoa mwana akamlavya kulawa gati akamweeta kwe ida nyumba; akawenkhamamiakwe yuda mwana akamba, "Kauwa, mwanao ni mgima," 24 Yuda mvyee akamba Eliya, "Sasa namanya kuwa wewe ni mntu ywa Muungu, na kwamba neno da Bwana mwe kamwa chako nda kwei."