Sula 10

1 Malkia wa Sheba ekusikiaho uvumi wa Seemani kuhusu zina da waswai magumu. 2 Keza Yerusalemu na msafaa mrefu, hamwe na ngamia wekuao wenua mizigo ya manukato, dhahabu nyingi, na maiwe mengi ya thamani, neeamwambiia Seemani yose yekukayo mwe moyo wakwe. 3 Seemani neajibu maswali yakwe yose. Nkahoaho na swali ambado kadiuza na mfaume kadishindwa kujibu. 4 Malkia wa sheba ekuonaho hekima yose ya Seemani, na Ikulu ekuayo kaizenga. 5 Nkande ya kwemeza yakwe, kwekaa kwe wandima wakwe, Ndima za wandima wakwe na kuvika kwao, pia wanyweshaji wakwe, na jinsi ekuavyavyo kafaa za kuokwa kwe nyumba ya ZUMBE, roho yakwe izimia. 6 Akamwambia mfaume," Nikwei, ida taarifa ambayo nkiisikia mwesii yangu uwanga wa maneno yako na hekima yako. 7 Shekuamini kia nekusikiacho mpaka nekubuaho aho, na sasa meso yangu yeonea. Hantu nusuu ya viungo na utajii wako! uzidi mbeho ambayo neenkiisikia. 8 Kauwa jinsi ambavyowabarikiwa wavyee wao, na wekubarikiwavyo wandima wakwe ambao milele andaagooke mbele yako, kwa sababu wategeeza hekima zako. 9 Zumbe, Mungu atogolwe, ambae kapendezwa na wewe, ambao kakuika kwe kiti cha enzi cha Israeli kwa kuwa Zumbe kaipenda Israeli milele, naivi sasa kakutenda wewe kuwa mfaume, ili kwamba uavye kuaha yakwei na ya haki. 10 BasiMalikia kampatia mfaume zaidi ya kilo 4500 za dhahabu na kiasi kikuu cha maiwe ya thamani. Nkahokuwahi kuawa kiasi kikuu cha kamaiki ambacho Malkia wa sheba kaavya kwa mfaume Seemani kuwahi kuavigwa vituhu. 11 Ida merikebu ya Hiramu, ambayo ieta ofri kiasi kikuu cha miti ya msandali na vito vya thamani. 12 Mfaume kagosoa siki za hekalu kwa ajii ya hekalu la Zumbe na kwa nyumba ya mfaume, na vinubi na vinanda kwa waowaimbaji, Nkaizatikuawia kiasi cha miti ya misandali kamaicho ambacho kiawia kuawa mpaka ivieo. 13 Mfaume Seemani kampatia Malkia wa sheba kia kintu ambacho kakikunda, na kia kintu ekuombacho, na zaidi ya yose Seemani neekampatia kwa ukarimu wakwe vitu vya kifaume. Kisha akauya kwakwe na wandima wakwe. 14 Kiasi cha dhahabu ambazo zietwa kwa Seemani kwa mwaka umwe kilikuwa kilo elfu ishiini nantatu za dhahabu. Zaidi ya dhahabu ambazo wagosoa biashaa na wachuuzi waeta. 15 Wafaume wose wa uavabuni na maliwali wasii pia wa dhahabu na fedha kwa Seemani. 16 Mfaume Seemani kagosoa ngao mia mbii za dhahabu yekufulwayo shekeli mia sita za dhahabu zidoigwa hamwe na ngao. 17 Pia kagosoa ngao mia ntatu za dhahabu yekufulwayo. Mane ntatu za dhahabu ziambatana hamwe na ngao mwenga mwenga; Mfaume kaviika mweikulu ya msitu wa Lebanoni. 18 Kisha mfaume neagosoa kiti kikuu cha enzi kwa mpembe na akakisunta kwa dhahabu laini. 19 Icho kiti nekiwa na ngazi sita, na chekao chakwe nekiwa na mviingo, Na chekuwa kizungushiwa mikono mpande zakwe zose. Na simba waidi wagooka nkandai mwe mikono. 20 Neekuwa na simba kumi na mbii nnewagooka mwe ida ngazi. Mwenga gatigati kia upande wa ngazi izo. Nkakokuwa na kiti kama icho kwe ufaume mtuhu. 21 Vikombe vyose vya kunywea vya mfaume Seemani viwa vya dhahabu. Na vikombe vyose vya kunywia vya ikulu ya mzitu wa Lebani viwa vya dhahabu ntana. Nkahokuwa na kikombe cha hea, kwa maana hea Misi ya Seemani. 22 Mfaume nekawa na merikebu za kusafiisha hamwe na merikebu za Hiramu, Maa mwenga kia mwaka merikebu zieta dhahabu, hea, na mpembe za ndovu, hamwe na nyani na tumbili. 23 Kwa iyo mfaume Seemani kawazidi wafaume waose mwe ulimwengu igatigati ya utajii na hekima. 24 Dunia yose ionda uwepo wa Seemani ili kutegeeza hekima yakwe, ambayo Zumbe kaiika mwe moyo wakwe. 25 Na wose wekumtembeleo waiha kodi, vyombo vya hea na vya dhahabu, na nguo na manukato na siaha na farasi na nyumbu, mwaka mpaka mwaka. 26 Seemani kakusanya hamwe magai na wakwea faasi. Nikaua na magai 1,400 na wakwe faasi elufu kumi na mbii ambao neekuwa kawaika kwe mizi ya magai hamwe nae Yerusalemu. 27 Mfaume neekawa na hea kuda Yerusalemu, hamwe na maiwe mwesii. Kagosoa miti ya mianzi kua mingi inga mikuyu yekuamo mwe nyanda za sii. 28 Seemani kamiliki faasi wekuao wagulwa kuawa Misri na kilikia. Wachuuzi wa mfaume wawagua kwa mbunga, kia bunga kwa bei yakwe. 29 Magai yagulwa kuawa Misri kwa shekeli mia sita na hea kia mwenga na faasi kwa shakeli 150 kia mwenga. Vintu vingi kati ya ivi badae vitagwa kwa mfaume wose wa wahiti na Aramu.